Nilidhani story, kumbe haya mambo yapo kabisa

Nilidhani story, kumbe haya mambo yapo kabisa

Jamani shoga wangu ndo napata mda ngoja niende kwenye ule Uzi nimejua kumbe wanaume ni dhaifu licha yakuchepuka mwanamke ukichepuka nakumchunia anaweza kujiua loh. Ngoja niende
Acha wanaongea kweli lakini mwishoni mambo yakigeuka wanakuwa taabani kabisa
 
Kweli kbs. Walikutana night club dogo akazimikia flag akatupia ndoano ikanasa, wamekula na kunywa zao haooooo mgegedoni, fakamiana kisawasawa asubuhi mwanamke anamwambia ila we mtoto unayajulia ulijifunzia wapi na bado mdogo? Huku na kule kutambuana ayaaaa mtu na mama yake mdogo- ikabidi wapigane mikausho tu
duhhh,,,
 
Ngoja nikawatoe povu huko wanaume wapenda kuchepuka ukiwakomesha wanaugua depression
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sahizi sijui wameenda michepukoni wametulia
 
Kwani jamaa aliondoka na papuchii??? chungulia chini kama ipo hakuna cha kukishauli apo
 
Duu matatizo hayo sasa baba yako huyo mdogo hata kuwatonya msije pitia dada yenu?
Alishawahi kuja nae kijijini kumtambulisha akiwa na miaka 10, sa hv ana mwili mkubwa kuliko mimi kabadilika sana sikumtambua mapema hadi nilivyojua ndo sura ikarudi ni yule
 
Alishawahi kuja nae kijijini kumtambulisha akiwa na miaka 10, sa hv ana mwili mkubwa kuliko mimi kabadilika sana sikumtambua mapema hadi nilivyojua ndo sura ikarudi ni yule
Pole kwahiyo umekaa kimya bila kumwambia lakini aibu sana
 
Ukute hata watoto aliozaa sio wa mumewe wabibi wa zamani walikuwa hatari
Ijawezekana kabisa tubibi tulikuwa na siri kama hapati mimba lazima atoke nje bila kuongea [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Za uzima,,

Sikukuu kwa upande wangu haikua nzuri kabisa, mpaka sasa sielewi kama nilisherehekea pasaka au sikukuu ya wajing. Ni hivi nimesex na ndugu yangu kabisa bila mimi wala yeye kujua. Huyu jamaa nilikua namzimia tangu zamani sasa pasaka ya juzi ikawa imetukutanisha akaomba "out".

Tukasafiri kwenda kijijin kwa bibi yake ambako alipanga akasherehekee. Tulifika salama na usiku "tukalalana". Mambo yakabadilika kesho yake mida ya usiku wakati tumekaa na bibi huku wao wakizungumza kilugha ambacho mimi sikielewi sana, kati kati ya mazungumzo nikamsikia bibi kataja jina fulani, moyo ukanilipuka nikauliza ili kuhakikisha jamaa akajibu kuwa huyo mtu ni babu yake. Nikahisi presha ya ghafla kwani huyo mtu ni baba yangu mimi( sio mzazi).

Baadae nilimwambia jamaa na akathibitisha kuwa ni kweli ila akawa hana la kufanya.

Naomba ushauri, nifanyeje??
Ungeeleza ni baba yako kivip? Japo umesema sio mzaz!! Na huyo bibi ni bibi mzaa nan? Mama au babake na huyo ulienda kuzni naye?
 
Pole kwahiyo umekaa kimya bila kumwambia lakini aibu sana
Sijamwambia yaani, mwezi wa 2 sasa nimemchunia, hapo ana mpango wa kubeba mimba akimaliza chuo, mwenyewe ananipenda kupitiliza,
Ila nimepanga kwenda kumueleza ukweli tuu hakuna namna, maana ni meseji za malalamiko tuu kila siku.
 
Back
Top Bottom