charrote
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 1,989
- 4,413
Za uzima,,
Sikukuu kwa upande wangu haikua nzuri kabisa, mpaka sasa sielewi kama nilisherehekea pasaka au sikukuu ya wajing. Ni hivi nimesex na ndugu yangu kabisa bila mimi wala yeye kujua. Huyu jamaa nilikua namzimia tangu zamani sasa pasaka ya juzi ikawa imetukutanisha akaomba "out".
Tukasafiri kwenda kijijin kwa bibi yake ambako alipanga akasherehekee. Tulifika salama na usiku "tukalalana". Mambo yakabadilika kesho yake mida ya usiku wakati tumekaa na bibi huku wao wakizungumza kilugha ambacho mimi sikielewi sana, kati kati ya mazungumzo nikamsikia bibi kataja jina fulani, moyo ukanilipuka nikauliza ili kuhakikisha jamaa akajibu kuwa huyo mtu ni babu yake. Nikahisi presha ya ghafla kwani huyo mtu ni baba yangu mimi( sio mzazi).
Baadae nilimwambia jamaa na akathibitisha kuwa ni kweli ila akawa hana la kufanya.
Naomba ushauri, nifanyeje??