Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,109
- 126,333
Hahahaaaa. Rafiki umakini huo kwenye nini tena? Nieleweshe bana [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuomba uzidishe umakini kwa mbalizi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaaaa. Rafiki umakini huo kwenye nini tena? Nieleweshe bana [emoji12][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuomba uzidishe umakini kwa mbalizi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna siri ya watu wawiliDuuh! Hivyo ikawa siri ya wawili?
MmmmhhhHaina noma hiyo mana mlikua hamjui alafu undugu wenyewe wa kumulika na tochi
Hahahaa. Huenda kwao iliwezekana mdogo wangu.Hakuna siri ya watu wawili
[emoji23][emoji23][emoji23] aiseeMmmmhhh
Nilikuja hapa kwa kukujulia hali tu, bila shaka uko salama salimini maana unatiririka na kiserereka(in GENTAMYCINE's voice) kama kawaida yako hapa jamvini JF.Hahahaa. Huenda kwao iliwezekana mdogo wangu.
Ila duniani bwana kuna mengi mno mdogo wangu na katika yale mengi inatakiwa tumuombe Allah mengine yatupitie mbali sababu kuna mengine yana aibu zake na majuto yake pia.
Ahsante sana kwa niaba ya Davet na mbalizi1 nasema na kwako pia iwe njema kabisaaa na yenye kila la kheri.Nilikuja hapa kwa kukujulia hali tu, bila shaka uko salama salimini maana unatiririka na kiserereka(in GENTAMYCINE's voice) kama kawaida yako hapa jamvini JF.
Mimi pia mzima wa afya na namshukuru Allah kwa kunijali pumzi ya siku ya leo.
Visa na mikasa vya humu huwa haviishi nitarudi baadae.
Asubuhi njema wote wewe, Davet, Mbalizi, nyie leo ni wachezaji bora kwenye huu uzi mnastahili pongezi nyingi mno
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]