Nilidhani story, kumbe haya mambo yapo kabisa

Nilidhani story, kumbe haya mambo yapo kabisa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [HASHTAG]#mgegedoni[/HASHTAG] [HASHTAG]#fakamiana[/HASHTAG] kisawasawa...

Hii ilikua mbaya zaidi ila kwa nguvu ya penzi utakuta wanaomba tena kukumbushia game
We jamaa unavodadavua si mchezo, hadi nimecheka aseeee
 
charrote kwa kuwa undugu upo mbali hapo hakuna kuoana Bali ni kufanya iwe siri yenu tu mkimisiana ndyo mnakutana kama kawaida tena mapenzi ya namna hiyo yananoga asali ni chamtoto.
 
sijaelewa vizuri sa undugu unakujaje kama aliotajwa sio baba yako??? nae watanzania tunarefusha mno undugu
Nilienda kumsalimia bibi yangu nikakutana na binti mtoto wa shangazi yangu ,bibi akanambia jichukulie binti bado mbichi huyu umfaidi( nikachukulia utani) jioni wakati wa kulala binti anakomaa alale na mimi nikamwambia acha uwendawazimu ww! unasikiliza maneno ya bibi! Alinuna midomo kaivuta kama minati, moyoni najisemea utajua mwenyewe
 
Back
Top Bottom