Nilidhani story, kumbe haya mambo yapo kabisa

Nilidhani story, kumbe haya mambo yapo kabisa

Sijamwambia yaani, mwezi wa 2 sasa nimemchunia, hapo ana mpango wa kubeba mimba akimaliza chuo, mwenyewe ananipenda kupitiliza,
Ila nimepanga kwenda kumueleza ukweli tuu hakuna namna, maana ni meseji za malalamiko tuu kila siku.
Mwambie taratibu kabisa halafu baada ya hapo uwe unamwita sister kila mara ili asahau duu jamani
 
Mmmmh hiyo dudu lazima ilikuwa tamu ..... ingekuwa ya hovyo hovyo ungepotezea bila kujiuliza mara mbili mbili hahahhaa
 
Haina noma hiyo mana mlikua hamjui alafu undugu wenyewe wa kumulika na tochi
Umeonaeee. Na hapo ukiangalia kama sio kwenda huko kwa bibi kimjini mjini wangetumiana sana yaani.

Ila kwa kuwa wameshajua kila mmoja afanye mambo yake ile iwe kama bahati mbaya tu.
 
Kweli kbs. Walikutana night club dogo akazimikia flag akatupia ndoano ikanasa, wamekula na kunywa zao haooooo mgegedoni, fakamiana kisawasawa asubuhi mwanamke anamwambia ila we mtoto unayajulia ulijifunzia wapi na bado mdogo? Huku na kule kutambuana ayaaaa mtu na mama yake mdogo- ikabidi wapigane mikausho tu
Hahahaaa. Rafiki huwa una mastory duuh.
 
Umeonaeee. Na hapo ukiangalia kama sio kwenda huko kwa bibi kimjini mjini wangetumiana sana yaani.

Ila kwa kuwa wameshajua kila mmoja afanye mambo yake ile iwe kama bahati mbaya tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakuomba uzidishe umakini kwa mbalizi tu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom