Nilichosikia kongamano la kiisilamu arusha

Nilichosikia kongamano la kiisilamu arusha

Looo poleni sana, sasa mkishatoa haya matamko mnalia? Pole sana.:hug:

mzaha mzaha hutumbua usaha, hawa waislamu wa leo si kama wa miaka ya sabini, hawa wamedhamiria kuleta mabadiliko na kuondoa maonevu walofanyiwa kwa miaka mingi! Chadema sasa ishachafuliwa sana kwa waislam, waislamu wengi wala hawataki kukisikia chama hiki wakiamini ni cha wakristo, na hii inajidhihirisha hata kwa wachangiaji wengi wanaoisapoti hapa jf ni wakristo, kinasapotiwa wazi wazi na mapadri, maaskofu na hata wachungaji mbalimbali, lakini masheikh wengi wanakipinga, jamani hata kama mnasema serikali inatoa hongo kwa hawa masheikh wakipake matope CDM ndo wote?
 
Natumaini waislamu wenye akili timamu na walioenda shule watachambua pumba na mchele katika hayo yaliyozungumzwa. Tatizo kubwa ni kwamba hata hao viongozi wa juu waliotoa matamko hayo shule yao ni ndogo wangekuwa wameenda vidato wasingekuwa na mawazo ya kubomoa kiasi hicho. Bahati nzuri ni kwamba siku hizi kuna waislamu wengi tu wameenda shule naamini wengi watapotezea huo uchochezi.

Huyo mwenye akili timamu na si muislamu alifuata nini huko?
 
Tatizo la Uislam ni shule na wala si kitu kingine, uelewa wa mambo ni mdogo, wala si ajabu ukisikia wakitamka maovu. sasa tunasubiri serikali inayojigamba kusimamia amani kwa nguvu zote kama watasema kitu kuhusu 'tamko la Arusha'
 
huyu shehe ilunga nimewahi kumsikia mara nyingi sana akileta uchochezi wake.kikwete anajua lakini anakaa kimya.
waislamu wasilalamike ili kujua pumba na mchele wajaribu kuangalia nchi yoyote iliyochanganya waislamu na wakristo ndipo atutajie mahali popote duniani ambapo waislamu wamewazidi wakristo kwa elimu.tatizo sio tanzania bali ni dunia nzima.
mfumo wa dini ya kiislamu ndio una shida. ukishapata elimu tayari unaweza kujitawala na kutawala mazingira.
madai ya waislamu mengine ni ya kweli ila hawatafuti chanzo bali wanalaamikia matokeo,mwisho wake utakuwa ni mbaya.
waislamu wa tanzania wana bahati sana kwani wamepata changamoto nyingi sana kutoka kwa wakristo na wamefunguka nawanapeleka watoto shuleni.
huo ndio ukombozi pekee unaoweza kumkomboa mwanadamu.
 
Dini ya Kiislam huwa inanishangaza sana, ninashindwa kuelewa maudhui ya imani ya dini hii. Kila mahali duniani wao wanadhulumiwa tu..!!? Mfano Misri wao ni wengi zaidi ya asilimia 90, lakini bado wanaona wanaonewa na wakristo wachache sana waliopo. Huko Zanzibar asilimia 95 na zaidi, bado utaona wanachoma makanisa na chokochoko kibao kwa wasio waislam. Mahali popote walipo hawa ndg zetu amani ni haba. Nigeria matatizo, Malaysia shida, Uchina baadhi ya sehemu walizoingia nako hivyo hivyo, Iran/Irak ambako wako wao wenyewe bado wataangaliana kwa tofauti zao na kuanza mzozo. Hivyo kwa hapa kwetu sishangai sana, kinachonishangaza ni jinsi walivyochelewa kuanza hizi vurumai.
 
Udini na ukabila sio mtaji wa maendeleo ya nchi yoyote ile...
 
Nimesoma kwa masikitiko makubwa sana habari hii huku machozi yakinilenga. Kama ni kweli viongozi hao wa dini wameyatamka hayo hadharani basi basi nchi inaelekea kubaya. Natumaini serikali itachukua hatua za haraka kuwakamata hao watu na kuwafungulia mashaka ya uchochezi na kuvuruga amani ya nchi. Natumaini pia steven wassira akipata habari hii atoe matamko ya kukemea kauli hizo za uchochezi kupitia vituo mbalimbali vya tv kama alivyofanya kwa chadema. Serikali ikikaa kimya juu ya haya basi tutaamini kwamba imebariki kauli hizo.
Nikweli waliyasema tena mtoa maada kapunguza makali...
 
I hope ulichokiandika siyo kweli!!
Kilicho andikwa ni kweli tena kuna zaidi ya hayo..mfano halmashauri ya arusha imepewa mwezi mmoja iwe imerudisha kiwanja ambapo ndipo kilipo stand ndogo lasivyo watang'oa msumari moja baada ya mwingine na hakuna atakae wafanya kitu...
 
Nimesoma kwa masikitiko makubwa sana habari hii huku machozi yakinilenga. Kama ni kweli viongozi hao wa dini wameyatamka hayo hadharani basi basi nchi inaelekea kubaya. Natumaini serikali itachukua hatua za haraka kuwakamata hao watu na kuwafungulia mashaka ya uchochezi na kuvuruga amani ya nchi. Natumaini pia steven wassira akipata habari hii atoe matamko ya kukemea kauli hizo za uchochezi kupitia vituo mbalimbali vya tv kama alivyofanya kwa chadema. Serikali ikikaa kimya juu ya haya basi tutaamini kwamba imebariki kauli hizo.
 
kikwete ndo wa kulaumiwa na serekali yake, ninasikitika sana kuona nchi ikiongozwa as if ni msikiti! kama nchi inaongozwa kwa kufuata sheria why viongozi wetu hawakemei haya ya waislamu? kuna redio kule rwanda ilitumika kufanya uchichezi km hivihivi na matokeo yake tuliyaona! mi naona kama vile wametumwa kukidhoofisha Chadema, taf waislam hapa ni maambuzi ya wananchi sio ya kwenu, pili uchochezi huu utazidi kuwaongezea gap! someni, aftafuteni maendeleo achana na hizo scholarship za kupelekwa algeria na misri kusomea quran unarudi hapa unaitwa Dr fulani but kazi hupati ndo frustration zinaanzia hapo! wakristo wananyo taasisi za kuwaajiri watu wao hata km wamesomea dini! so issue ni kujipanga kufanya machafuko hakuna maana! pia radio Imani huko morogoro ningeshauri ifungiwe na watu wafikishwe mbele ya sheria wao ndo wananleta uvunjifu wa amani! okay najua 100% hata iweje hamtoweza shinda umma na uongo wenu! HAPA SERIKALI YA KIKWETE NDO ILAUMIWE ZAIDI!!KUISIFIA CCM ISIWE KIGEZO CHA KUACHIWA KUVURUGA AMANI!!
 
Wameshikilia amani gani hao? Wanataka kututishia na ugaidi au? Barack yupo wajue. Wakristo hawamtegemei Kikwete kwa sababu uwezo wake in mdogo. Wakamuulize Quadaffi, kaka yao Saddam na mjomba Osama anayeishi mapangoni.
 
Wakati habari juu ya babu huko Loliondo zinapumzika kidogo, naomba
> niwape na haya niliyoyasikia kwa masikio yangu kutoka redio Imani. Hii
> ni redio ya Waislamu ambayo inatangaza kutokea mkoa wa Morogoro. Sijui
> kama husikika nchi nzima au la. Hapa kwetu Arusha kulikuwa na
> kongamano kubwa la Waislamu wa madhehebu yote, jana Jpili na lilianza
> tangu asubuhi hadi jioni. Walikuwepo watoa mada mbalimbali, lakini
> mimi nilifanikiwa kumsikia mmoja, pamoja na immamu wa mkoa aliyetoa
> maazimio ya kongamano.Bila shaka magazeti yataripoti vizuri.
>
>
>
> Nimesukumwa kuandika tena kwa urefu kwani nilisikitika sana kusikia
> maneno ambayo sikuwahi kuyasikia tangu nizaliwe yakiongelewa hadharani
> ndani ya nchi yangu. Nakumbuka nilisoma maazimio ya Mwanza, lakini hii
> imenistua sana. Kama tunamwomba Mungu basi tuongeze nguvu, kama
> hatuombi basi tuanze. Kwa mtindo huu, ninawasiwasi na amani ya
> Tanzania ambayo tumejivunia miaka hamsini sasa. Mliopata neema ya
> kupata nafasi za juu serikalini, sijui serikali inayaonaje mambo haya.
> Hayajaanza leo, ila imeyaachia yaendelee. Makanisa yanazidi kuchomwa,
> hakuna msikiti uliwahi kuchomwa kama sijakosea. Wakristo wanavamiwa na
> kupigwa, hakuna mhadhara wa Waislamu uliwahi kuvamiwa. Redio Imani na
> magazeti ya Kiislamu (mfano Al-alnuur) yanazidi kumwaga sumu ya udini,
> na ubaguzi, na chuki, lakini sijawahi kusikia vyombo hivi vikikemewa.
> Huu, ukimya wa serikali na vyombo vyake, sijui maana yake ni nini?
> Sumu hii ikiishapandwa kuing’oa ni kazi. Jamaa hawa walifanya mambo
> yao sirini tangu enzi za Mwinyi, na sasa, wameamua kuyaweka wazi na
> kuhamasisha Watanzania waziwazi tuuane. Haiingii akilini mwangu. Je,
> viongozi wetu wa dini wanazo taaarifa za kutosha kuhusu mambo haya?
> Wanachukua hatua gani? Je, sisi tuchukue hatua gani?
>
>
>
> Shehe Ilunga Hassan ndiye niliyeweza kumsikia. Ameongea mambo mengi,
> lakini yote ni ya kupandikiza chuki ndani ya Watanzania. Ameanza kwa
> kutoa pongezi kwa kile Waislamu walichokifanya huko Mto wa mbu
> (Arusha) kwa kuwapiga wachungaji, na kuwajeruhi, nk. Amesisitiza kuwa
> Tanzania inaongozwa na mfumo Kristo. Na sasa umefika wakati mfumo huo
> uondolewe na hiyo ndiyo itakuwa pona ya Waislamu. Serikali inaongozwa
> na maaskofu. Wao ndiyo wanaweza kumwambia rais tunataka hiki au la.
> Amesisitiza kuwa amani tunayoiona TZ ipo kwa gharama ya Waislamu.
> Umefika wakati Waislamu waseme basi kwa mfumo Kristo ili na Wakristo
> wabebe gharama ya amani hii.
>
>
>
> Ametoa takwimu kuwa mwaka 1992 Serikali iliingia mkataba na Wakristo,
> na tangu hapo imekuwa ikitoa fedha za kuwaendeleza wao huko Waislamu
> wakibaki nyuma. Kwa mfano, mwaka 2009, serikali imetoa bilioni 45,
> mwaka 2010 bilioni 54, na mwaka huu kwa miezi miwili hii na siku
> imekwisha toa bilioni 611, zote hizi zikiwa ni kuwaendeleza Wakristo.
>
>
>
> Wakati serikali ikifanya hayo yote, Waislamu wameachwa nyuma na watoto
> wao wamezidi kuwa wamachinga huku watoto wa Wakristo wakiendesha
> baiskeli za kizungu na kufurahia beach. Amesema ifike mahali Waislamu
> waamue kama walivyofanya Wahutu dhidi ya Watutsi.
>
> Ati Kikwete hawezi kuongoza nchi bila maaskofu, maana kila analotaka
> kufanya lazima awaone.
>
>
>
> Amesema kuwa Chama cha kususa na maandamano kipo tu kwa ajili ya
> maslahi ya Wakristo. Waislamu wanadanganywa wakidhani hicho chama kipo
> kuwatetea WaTz kumbe kipo kwa ajili ya Wakristo. Makafiri wanasaidiana
> wao kwa wao hivyo waislamu waamke, waungane hili kuuondoa mfumo
> Kristo. Amesema mfumo huu ulianza zamani,kwani hata 1964, Nyerere
> aliwafunga kina Chief Fundikira na wenzake kwakuwa walikuwa Waislamu.
> Akaendelea kuwa hata Azimio la Arusha lilikuwa kiini macho kwani
> liliwalenga Waislamu hata mali zilizotaifishwa zilikuwa za Waislamu
> Wahindi kwani wakati huo wakristo wengi walikuwa makarani na hawakuwa
> na chochote. Kwa hiyo Azimio lililenga kuwakandamiza Waislamu.
> Wakristo na mfumo wao wamekanyaga nyoka mkia, au wanamkamata ng’e
> mkia.
>
>
>
> Aliendelea kusema kuwa imefika sasa Waislamu kuongea lugha wanayoilewa
> makafiri kwani wao hawataelewa kama waislamu wataendelea kuongea kwa
> njia ya makongamano kama haya. Kuendelea kudai haki kwa njia hii ya
> mikutano na makaongamano ni kama mtu anayemwambia mbuzi lugha ya
> kibinadamu wakati hailewi. Mbuzi lugha yake ni kupigwa ndipo huelewa.
> Ndivyo walivyo makafiri. Ifike wakati waislamu waseme basi.
>
> Usilamu hauna historia ya kushindwa. Allah alikwisha wahaidi
> waisalamu ahela, hivyo wao wana kazi mbili tu, KUUA au KUUAWA, na
> ndipo watapata zawadi ya ahela. Hivyo ndivyo wanaweza kuuondoa mfumo
> Kristo.
>
>
>
> Akasisitiza kuwa huko Rwanda ilifika ambapo ilipotakiwa kuubadili
> mfumo, Mtusi na Mhutu hakuna aliyelala ndani, sasa Waislamu waseme
> basi. Akasema kuwa hata kama kunasemwa mabadiliko ya katiba, nayo
> hayatakuwa na maana kama bado kuna mfumo Kristo. Akasema kwa mfano
> waislamu wanabaguliwa hata kama katiba inakataza ubaguzi, hivyo, shida
> si katiba bali ni mfumo Kristo.
>
>
>
> Amesisitiza kuwa Waislamu hawana historia ya kushindwa hivyo hata sasa
> watashinda tu. Amekiponda sana chama cha kususa na maandamano
> akiwasihi Waislamu wasikiunge mkono.
>
>
>
> Jamani yamesemwa mengi, laiti ningekuwa mwanahabari ningeadika mengi.
> Kwa ufupi yule bwana amehamasisha chuki, uuaji, kuchukia CHADEMA, nk.
>
> Muda wote wafuasi walikuwa wakishangilia kwa TAKBIR! TAKBIR! Yaani
> kama angesema sasa tunaaza kazi nakwambia kungekuwa na balaa hasa.
>
>
>
> Ndugu zangu, inaonyesha hawa jamaa wamefanya mikutano,
>
> Dar es Salaam, Kigoma, Tabora, Mwanza, Shinyanga, Morogoro, Singida,
> na sasa Arusha. Wanaendelea hadi nchi nzima wakihamasisha haya na
> Waislamu kuungana na kuondoa tofauti za madhehebu yao kwani mfumo huu,
> unawaathiri wote.
>
>
>
> Baada ya hapo alikaribishwa Imamu wa mkoa wa Arusha naye akatoa
> maazimio ambayo yaligawanyika katika makundi mawili.
>
>
>
> 1. MAAZIMIO YA KITAIFA
>
> i) Wanaunga mkono maazimio yote yaliyotangulia kutolewa katika mikoa
> mingine
>
> ii) Wanaunga mkono tamko la Immam mkuu (Shehe Issa Bin Simba)- sasa
> dhuluma basi
>
> iii) Wanaitaka serikali kuangalia uwiano wa kimadaraka katika ngazi
> zote za serikali
>
> iv) Wanaiagiza Wizara ya Elimu ifuatilie na kuhakikisha waraka wa
> mavazi (hijabu,nk), na ibada kwa Waislamu wanafunzi inatekelezwa.
>
> v) Wanamtaka waziri wa fedha kuthibitisha uhalali wa mkataba kati ya
> Wakristo na Serikali wa mwaka 1992.
>
> vi) Wanasema suala la mahakama ya kadhi si ombi ila ni lazima
> litekelezwe na pia TZ ijiunge na OIC
>
>
> vii) Wanaagiza ubalozi wa Vatican uondolewe nchini
>
>
>
> 2. MAAZIMIO YA KIMKOA
>
> i) Halmashauri ya Arusha imepewa mwezi mmoja irudishe mali za Waislamu
>
> ii) Waislamu wapewe kibali kujenga msikiti katika kiwanja cha NHC
> kilicho karibu na Mahali pa Kumbukumbu ya Azimio la Arusha.
>
> iii) Mahali ilipo stendi ya daladala ni mali ya Waislamu, irudishwe
> mara moja
>
> iv) Kwa kuwa serikali ya JK ni halali kwa mujibu wa sheria, wanaoleta
> chokochoko waache mara moja.
>
> v) Waislamu wanamuunga mkono Meya wa jiji la Arusha kuwa alichaguliwa
> kihalali, na wanamtambua kwa nguvu zote. Aachwe afanye kazi. Wao
> hawatakuwa tayari kuona upuuzi huo wa kumpinga.
>
> vi) Kama Chadema itaandamana kama ilivyotoa taarifa ya siku 21, basi
> nao watatoka ili wapambane nao ili kujihami kwani maandamano
> yaliyopita yaliwaathiri
>
> vii) Wanamwagiza IGP amrudishe kazini yule askari aliyesimamishwa kazi
> kwa kuwakamata wachungaji huko mto wa mbu. Pia mkuu wa kituo
> aliyehusika kumsimamisha kazi achunguzwe na kushughulikiwa.
>
>
>
> viii) Waislamu wanasema sasa dhuluma basi.
>
>
>
> Ni hayo kwa ufupi jamani.

ALIYE ARUSHA ATUJUZE NI KWELI AU UONGO, TUZIDI KUSALI JAMANI
Tunaiomba serikali yetu tukufu isiyo na dini ichukue hatua za haraka kukomesha hii mipango ya mauaji ya watu wasio na hatia.Lisemwalo lipo kama halipo basi lipo njiani linakuja. Kwani Mto wa mbu ilikuwaje?????????????? Na Mheshimiwa Raisi na viongozi wake kina PM wasidhani watapona, moto huu ukianza hakuna wa kusalimika. Nibora ukazimwa mapema kabla mambo hayaja haribika. HUU NI UKICHAA NA UWENDA WAZIMU, YAMETOKEA MTO WA MBU JAMANI SIO HISTORIA!!!!!! Huu ni UARIQAIDA bila kudhibiti madhara yake ni makubwa. Toka usingizini serikali amka akumulikaye mchana usiku atakuchoma eti!!!!!!!!!
 
hayo ni mambo na wala hayatakiwi kupewa kipaumbele ki ivyo,ni mawazo finyu ya waislam wachache sidhani kama waislam wote wanaweza kubaliana na izo fikra chafu....hao ma shekhe kama wana tofauti zao naomba wasizilete kwa umma huu ulio jaa waelewa.mi ni muislam na sipo tayari kubulizwa kwa pumba kama hizo...ye kama anataka vita afanye peke yake....huu ni ujinga uliopitiliza...

by hamad khalfan
 
Am secular je hata mimi nimenufaika na mfumo kristo? Hiyo siku ikifika mtusamehe sisi secular
 
jamani eeh, tusisumbue vichwa kuwajadili hao jamaa, maana kula yao inategemea uchochezi na machafuko, wanatumia mwamvuli wa uislam ili kujinufaisha. Walishindwa wenyewe kwenda shule matokeo yake hata upeo wa kuchambua mambo umekuwa mdogo kiasi kwamba lugha anayoongea atashangiliwa na majuha wenzake Waislam waelewa hawawezi kushabikia na kushangilia ujinga huo. Urithi muhimu kwa watoto ni Elimu, mpeleke mtoto shule apate elimu ili ajikomboe na utumwa wa fikra hao jamaa kinacho wasumbua ni utumwa wafikra ndio maana anadoriki kusema AHERA hipo kwa ajili yao hivyo wao ni KUUWA AU KUUWAWA ndio njia ya kuifikia AHERA, kama kweli huyo ni SHEIKH basi taabu kweli kweli.Akumbuke vita haina macho na anatamka hivyo kwa sababu yeye kazoea kuua kwa MAJINI lakini vita haitumii MAJINI ni risasi na mabomu ingekuwa ni matumizi ya majini basi SADDAM HUSSEIN na MULLAR OMAR na swahiba wake SHEIKH OSAMA BIN LADEN kule AFGANISTAN wangekuwa washindi, lakini kwa sababu vita si majini leo SADDAM ni marehemu tena kanyongwa na WAISLAM wenzake na MULLAR OMAR na OSAMA wanaishi kama digidigi kama kweli wapo hai. SHEIKH huyo hayawani akumbuke kuwa ALIWAZALO MJINGA NDILO LITAKALO MTOKEA (si anatamani kufa vitani).

Waislam kibao tupo nao mitaani ni marafiki zetu jamaa zetu tumeoa na kuoleana nao hivyo huyo HAYAWANI AJUI ATENDALO, Kweli ukiwa na umaskini wa akili ni shida eti dunia ya sasa unatolea mfano mauaji ya RWANDA na kuona kilichofanyika kule ni USHUJAA na UJASIRI kiufupi huyo SHEIKH UCHWARA bado anaishi ktk dunia ya kijima anadhani dunia hii ni ya wajingajinga kama yeye hata haelewi wauaji kama yeye ni nini kinawapata huko RWANDA aende ktk FILES za mahakama ya ICC hapo ARUSHA atapata somo kidogo, AU ajifunze kwa GADDAFI kinachompata sasa. Dunia ya utemi wa kijinga imekwisha ukilianzisha unapata kibano hapo hapo kama GADDAFI. HITLER na MUSSOLINI wapo wapi AACHE ujinga. Kama yeye ni mkereketwa wa UISLAM akajiunge na ELQAIDA au TELIBAN wenzake hadi leo wapo ktk mapambano akapate somo jinsi vita inavyopiganwa yeye anaisema vita na kuisifia wakati anaishi TANZANIA aende AFGAINSTAN au IRAQ ndipo atajua vita ni nini?

Halafu nchi hii ni ya ajabu sana kuna WASIRA na Serikali nzima kimya, utadhani kilichosemwa hapo ni jambo la ujenzi wa Demokrasia na amani nchini, Watu wakitumia haki yao ya kikatiba kuandamana na kufanya mikutano wanasema ni uchochezi wakiamasisha mauaji ya kimbari viongozi kimya, kazi kweli kweli Ila tukumbuke HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA, hivyo CHOKOCHOKO uanza kama utani zisipodhibitiwa zikikuwa tunatengeneza SOMALI nyingine
 
Nilijiunga uislamu kwa kumpenda bint ambaye kwa sasa ni mama mtoto wangu.ktk miaka 6 niliyokaa kwenye dini hii najuta,kwa haya wanayofanya HAKUNA DINI HAPA!NAJUTA KUWA MWISLAMU
Hukufuata uislamu ulifuata DEMu Pumbavu mkubwa!!unaongea utumbo wako humu!!usichanganye uislamu na umalaya wako!
 
Yani baada ya kuandamana kwenda kupapambana na MANJI ametuibia kiwanja pale MCHICHA KIBASILA, Tubataka kupapambana na WAKRISTO!
Hivi MANJI ni MKRISTO wa dhehebiu gani?
 
Intelijensia iko wapi wakati mambo haya yakitokea?
Au WANNGOJA DAMU imwagike ndio waanze kufanya uchunguzi!
Dalili za mvua ni mawingu!
Mambo haya yako kwenye uwezo wa serikali kabisa,na yanadhibitika!, lakini kwa vile wakubwa wana maslahi nayo, basi wanaacha yapate kasi!
Pomponi kabisa hii serikali!
 
Back
Top Bottom