Nilichokutana nacho jana sina hamu

Nilichokutana nacho jana sina hamu

Kweli nimeamini
Wala usijalaumu sabb kila shetani na mbuyu wake.
Huenda hata yeye angekuacha pia. Hebu tujiulize baada ya kumuacha, alikutana na huyu aliyempa mimba? Kwa kiufupi huenda alipitia mahusiano kadhaa kabla ya huyu mwenye mimba.

MAPENZI NI HISIA, NDIYO MAANA UNAMPENDA SANA MTU HALAFU HUYO HUYO BAADAE UNAMCHUKIA SANA.
Ila siku zote mheshimu, mjali na umpende anayekupenda. Mwanaume akipenda ni tofauti na mwanamke. Mwanaume ni kama nyoka mwenye sumu kali sana, kwahiyo ukiona nwanaume anakupenda, anakujali na ni muwazi kwako.(Na mwanaume anayekupenda huwa kwake sex huwa haipi kipaumbele sana, hata ukimnyima hawezi kukulaumu) Inabidi ushikamane sbb hawezi kukudhuru kwahiyo ukimwacha ukakutana na nyoka wenye njaa (huyu ratiba za sex huwa hazikatiki)huyu atakupenda kwa ajili ya sexy, akishafunua hata km upate mimba yy hajali. Ataondoka zake
 
Ahsante mkuu,uyasemayo ni ukweli mtupu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom