Nilichokutana nacho jana sina hamu

Nilichokutana nacho jana sina hamu

Kwahiyo na wewe jamaa yako si umwambie akubebee mkoba alafu muingie movie?au jamaa oyaoya?

Pole bana kama ipo ipo tu huwezi jua Mr. Right is on his way coming to you....ila muache kudharau wanaume wenu
 
Afadhali hata huyu anakitu kinachoweza jadilika. Kuna wengine mpaka unajiuliza amefikiria nini?! Mfano jamaa anauliza maana ya "biological father" si angegoogle tu!
Bora unisaidie kuwaeleza mana wengine wanadis sana mada za wenzao
 
MTOA MADA ANA UJAUZITO HALAFU UMEKIMBIWA NDIO MAANA NETWORK IMEPOTEA ANAANDIKA UGORO MTUPU
Ukiona kichaa amkekusanya nguo zako na kutoka nazo nduki wakati unaoga, na wewe ukaamua umkimbize... jitathmini... inawezekana kichaa ni wewe
 
Siku zote kuachana na mtu hakikisha sababu isiwe unasikini wake.

Vinginevyo umejitakia kujuta.
Halafu kibaya zaidi wengine sjui mna kimavi!!!!!!!, yaani unajikata tu mambo yanaanza kunyooka.
 
Kwahiyo na wewe jamaa yako si umwambie akubebee mkoba alafu muingie movie?au jamaa oyaoya?

Pole bana kama ipo ipo tu huwezi jua Mr. Right is on his way coming to you....ila muache kudharau wanaume wenu
Ahsante
 
Kwa hyo ulikuwa unamfuja?ulikuwa unazidi kumfanya maisha yawe mabaya maana alikuwa hata usafiri hana?ulitamani nini hapo?ile nafasi au gari?
 
Hello jf,jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka flani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentle man mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee man kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaid baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopak pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
. ndo nn sasa umefanya tamaa hizi utakuja kufa
 
Yaani kama usingechangia ningeona kweli hii topiki ni pumba na mtoa mada ndo mkuu wa watoa pumba... SASA KWA KUCHANGIA KWAKO, IDADI YA PUMBA IMEONGEZEKA NA WEWE UMEKWALIFAI KUINGIA KWENYE LIST YA WATOA PUMBA MWAKA HUU
Ahsante sana kwa kuliona hilo
 
Mkuu, najaribu kuwarekebisha hawa vijana wetu. Wanaanzisha mada za kipuuzi sana. JF ni jina kubwa sana. Hata juzi paschal mayala wakati anamuuliza swali Rais magufuli alisema kwamba yeye {mayala} ni mwanachama wa JF. Ina maana hata Rais anatambua mtandao huu wa JF. Sasa tukiendelea kuruhusu vijana kuandika "vapour" aka "pumba" tutakuwa hatulitendei haki jukwaa letu adhim la JF.
Sikubaliani na wewe.. Hujaelewa content ya mleta mada....

On the other side ya mada yake, ni kwamba ANAWAKUMBUSHA WADADA WANAOLETA NYODO KWENYE MAHUSIANO, MAISHA HAYANA FORMULA NA WHOEVER ANAWEZA AKAWA YEYOTE KWENYE MAISHA....

Hujataka au hujui namna ya kuona the positive side ya stori aliyoiweka...

ANYWAY, IT UP TO YOU KUAMUA KUONGELEA UPANDE ULIOJAA AU NUSU ILIW=YO WAZI KATIKA GLASI ILIYOJAZWA NUSU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom