Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,029
- 52,507
SIJAULIZWA NAMUELEWESHA TU AJUE MTU MZIMA AKILIA KUNA JAMBOWe nawe umeulizwa kwani?
SIJAULIZWA NAMUELEWESHA TU AJUE MTU MZIMA AKILIA KUNA JAMBOWe nawe umeulizwa kwani?
Sio kwamba mzinguaji ndo nature yangu nop kwa jamaa tu ndo nilimzingua lakini sio kwamba ndo katabia kangu ko kunita mzinguaji unakoseakilichokuuma ni nini? Kama ni neno 'MZINGUAJI' mbona Mleta mada mwenyewe kakiri kuwa yeye ni MZINGUAJI. Polee
But sijaona umuhimu wa wewe kufanya hivoSIJAULIZWA NAMUELEWESHA TU AJUE MTU MZIMA AKILIA KUNA JAMBO
Dunia ya badilika..Kuna wimbo wa Lady JD naufahamu tu Chorus yake aiseeee, simbo wenyewe wa zaman lakini huwa naupenda sana sana. Mwenye kuufahamu anijulishe, maneno ya kwenye Chorus ndio haya
"Usikatae akikuita, labda kesho yatakukuta, dunia......"
sawa dada polee kwa yaliyokukuta, ila ujifunze kutoka sasa.Sio kwamba mzinguaji ndo nature yangu nop kwa jamaa tu ndo nilimzingua lakini sio kwamba ndo katabia kangu ko kunita mzinguaji unakosea
Asante,hakika nimejifunza.sawa dada polee kwa yaliyokukuta, ila ujifunze kutoka sasa.

We wakaushie tu.Bora unisaidie kuwaeleza mana wengine wanadis sana mada za wenzao
SawaWe wakaushie tu.
HONGERA KWA MAAMUZI MAGUMU ULIYOYAFANYA SIKU ZA NYUMAHello jf,
Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,
Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,
Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
AsanteHONGERA KWA MAAMUZI MAGUMU ULIYOYAFANYA SIKU ZA NYUMA
Sawa mamy,nalo neno..Mmh katika haya maisha jifunze kuappreciate tu, ila sio kutamani kuwa kama fulani.
Waweza ukawaona hivo ila maisha yao ni tofauti
Oooh real?..sipendi kubadili jina thats why natumia my real name.Nimependa unavyotumia jina lako halisi sio Kama wengine humu
NimeusomaKuna uzi wenu mmeanzishiwa type yenu........... [HASHTAG]#poledadaYANGU[/HASHTAG]
Majibu yako yapo hapa hapa utafute Uzi wa hhhj unaitwa POLE SANA DADAHello jf,