Nilichokutana nacho jana sina hamu

Nilichokutana nacho jana sina hamu

Ulimbwaga kwa sababu za kiuchumi?

Kama Ulimbwaga kwa sababu hamkuwa compatible sioni sababu ya wewe kuumia hata angekuja kuwa Bill Gates
We Mwongo hivi ulimbwaga MTU kwa kumwona hauko compatible naye kwenye hadhi.
Baadaye anakua Mengi na anaoa Mwanamke aliyekuzidi kila kitu. Ns wewe unapekua mtaani hujaolewa wala nini.
Na ulimuacha kwa ngebe zote siku hata ukamuona kwa mbali hutaumia na kujilaumu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom