Nilichokutana nacho jana sina hamu

Nilichokutana nacho jana sina hamu

Halafu usiombe we ndo jamaa wa mleta mada akirudi nyumbani anakuangalia kwa hasira
 
POLE SANA HALAFU HAPO UNA MIMBA YA MUME WA MTU NA KAKUKATAA LOH NADHANI ULIONA MVUA YA MOTO
 
Hello jf,

Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,

Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,

Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!

Kisicho liziki...............

Pole sana nadhan umejifunza kitu........

[HASHTAG]#StepByStep[/HASHTAG]
 
Kuna mmoja kama wewe alinizinguaga wakati huo nipo mbugila mbugila akanitosa nikakama mwingine nikaoa kabisa yeye mpk Leo anasugua gaga kwao na mambo mbele kwa mbele
 
Hello jf,

Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,

Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,

Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
Pole sana ila na nyie mmezidi kwa kuweka masharti kama ya IMT Mara oh u are not of ma type, ona sasa unavyoweweseka. Any way baada ya kuna hilo tukio umejifunza chochote?
 
hivi ungenyamaza tu unahisi ungekuwa umetenda dhambi sio kila kitu lazima uonge vingine waweza nyamaza kama unaona kwako havifai duuuuh walimwengu bhanaa taabuu kwelii
kilichokuuma ni nini? Kama ni neno 'MZINGUAJI' mbona Mleta mada mwenyewe kakiri kuwa yeye ni MZINGUAJI. Polee
 
Kuna wimbo wa Lady JD naufahamu tu Chorus yake aiseeee, simbo wenyewe wa zaman lakini huwa naupenda sana sana. Mwenye kuufahamu anijulishe, maneno ya kwenye Chorus ndio haya

"Usikatae akikuita, labda kesho yatakukuta, dunia......"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom