Nilichokutana nacho jana sina hamu

Nilichokutana nacho jana sina hamu

Hii ni kauli...
Kweli nimejilaumu sana ukizingatia me ndo nilimbwaga
Swali likaulizwa...
Wachache sana wanaweza wakasema hayo... By the way, ungemkuta amechoka sana ungejilaumu?
Likajibiwa..... Na hili jibu wajanja limesha tufumbua umempendea nini mkaka wa watu...
Nisingejilaumu

Haya tunaendelea
Dada yangu Maisha hayana formula.
Majuto ni mjukuu...
Kweli nimeamini

Tunakonkludi kwamba unajuta kukosa mali za huyu mbaba wa watu.....

Kama unapenda hela sana, kaolewe na bank.

Nimemaliza
 
Hamna sababu ya kujilaumu. Mtu ni yule yule, kama wakati ule uliona hakufai na ukaamua kumwacha basi hata sasa bado asingekufaa licha ya mtindo mpya wa maisha yake. Jifunze kuamini na kuheshimu maamuzi yako.
 
Hello jf,

Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,

Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,

Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!

= to be honest.

Faidika na darsa la FaizaFoxy wa JF Bofya Hapa.
 
khaaaa mi hapo sijaona point
 
Hiyo ni kawaida, wadada mnaowazingua wanaume inawatokea puani sana hii kitu!
Kuna wanaume ambao hawapendi kabisa kujionyesha wana nini pindi wanapotongoza, au wanakuwa ni fighters haswa wa life, ikitokea ukimzingua siku ukikutana nae utatamani ardhi ipasuke!!
Ni fundisho.... la maisha. Lakin huwa wengi wao haelewi. Watarudia kosa lile lile miaka nenda rudi.
 
Hello jf,

Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,

Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,

Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana![/QOTE]
Pole ndugu it's life
 
Pole sana ila wanawake mjifunze kuwa maisha hayana formula, mpunguze tamaa. Na usimdharau mtu dunia bado inazunguruka.
 
Hello jf,

Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,

Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,

Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
Dada pole kwa yaliyo kukuta. kwa sasa ushajutia nanhuwezi kurudisha muda nyuma. Muombe Mungu akupe wako.

Kwa sasa chukulia hili kama funzo la maisha... na uwafundishe wenzako kama wana tabia hii waache kabla hayaja wakuta.
 
Hii ni kauli...

Swali likaulizwa...

Likajibiwa..... Na hili jibu wajanja limesha tufumbua umempendea nini mkaka wa watu...

Haya tunaendelea
Majuto ni mjukuu...

Tunakonkludi kwamba unajuta kukosa mali za huyu mbaba wa watu.....

Kama unapenda hela sana, kaolewe na bank.

Nimemaliza
Teh teh teh teh sawa
 
Ahsante
 
"...behind every successful man there is woman unfortunately that woman is not you..."
 
Hii ni kauli...

Swali likaulizwa...

Likajibiwa..... Na hili jibu wajanja limesha tufumbua umempendea nini mkaka wa watu...

Haya tunaendelea
Majuto ni mjukuu...

Tunakonkludi kwamba unajuta kukosa mali za huyu mbaba wa watu.....

Kama unapenda hela sana, kaolewe na bank.

Nimemaliza
Umeunga story hadi wasiolewa wameelewa haswaa..... ASANTEE
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom