Nilichokutana nacho jana sina hamu

Nilichokutana nacho jana sina hamu

Acha tamaa wewe tafuta vya kwako
HV ungekutana nae akiwa kachoka zaid ungejilaumu?
Mkiambiwa mnauza unasema mnatukanwa onA sasa
Cha mitamaa ya kijinga tafuta chako cha halali
 
Hello jf,

Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,

Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,

Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
... beauty with no brain... private parts suffer most
 
Huyu anaongozwa na tamaa tu , sio kwamba ana mapenzi na huyo jamaa.
 
Mmh katika haya maisha jifunze kuappreciate tu, ila sio kutamani kuwa kama fulani.
Waweza ukawaona hivo ila maisha yao ni tofauti
Hatakama ni maigizo. Majibu wanayo wao. Lakini kutembea mmeshikana mikono sio kitu cha mtoto. Kwanza wanawake wengi wasio na michepuko wanakuwa na amani kwasabubu wanajua kama jamaa inamamichepuko lazima roho zipasuke
 
Hello jf,

Jumapili ya jana ilikua mbaya sana kwangu sababu nilikutana na kitu ambacho sikutarajia kukutana nacho iko hivi,

Jana nikiwa zangu town nikawa nimepitia kwenye duka fulani hivi la vipodozi nikiwa hapo gafla akaingia gentleman mmoja kabeba handbag na mdada mjamzito kwa mtazamo tu ikaonekana ni mtu na mtuye kumcheki vizuri yule man nikagundua ni man ambaye nilimzingua kipindi hicho daah nilitaman ardhi ipasuke nipotee maana kachange sana amekua na muonekano amaizing..sikutaka nimeet nae uzuri duka ni kubwa nikajichanganya nikatoka zangu hapo dukani nikaenda simama duka la jirani na hapo ili nione wakitoka pale wanaelekea wap,

Kwa vile kulikua na kimvua ikaonekana kama nimejisitiri kimvua kumbe wala basi muda si muda hao wakatoka zao dukan man kamshika bibie mkono hapo ndo nikapigwa butwaa zaidi baada ya man na huyo bibie kuingia kwenye moja ya car zilizopaki pale nje ya duka nami faster nikaingia zangu kwenye hice huyoo mpaka home..to be honestly niliwatamania saaaaana!
Machaguzi ya mchumba yakizidi sana utajikuta umeolewa na jini?
 
Mnataka kula vilivyopikwa, hamtaki kupika mle....
Amefanikiwa amebadilika sababu amepata wa kumtengeneza. Ukitaka wako mtengeneze
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom