Nilichokutana nacho jana sina hamu

Nilichokutana nacho jana sina hamu

Wala usiwe na wasi, mbona hata mimi nilikuona Ila nikajikausha kwa vile kipindi kile uilini "dis" vibaya mno. Kama vipi niachie # yako pm nikutwangie, ikibidi nikufanye kama mwenzio!
Ha ha ha umfanyaje mkuu, umpe mimba??
 
Topiki nyingine za kipuuzi kabisa. Kama huna topiki ya maana, tulia kimya. Soma michango ya wenzako. Hatutaki kusoma pumba hapa!!
Jamani, nahisi humu kila mtu ana uhuru wa kueleza hisia zake, na huwezi jua litakuwa fundisho kwa wangapi.

Si vyema ku crash hisia za mwingine. May be hzo mada zisizo za kipuuzi ulizotoa zi wapi??
 
Ha ha kwel huu mchezo hauitaji hasira
 
Kwahiyo na wewe jamaa yako si umwambie akubebee mkoba alafu muingie movie?au jamaa oyaoya?

Pole bana kama ipo ipo tu huwezi jua Mr. Right is on his way coming to you....ila muache kudharau wanaume wenu
wakati mwingine kumfariji mzinguaji kunakufanya na wewe mzinguaji pia.
 
angekuwa still yuko nawe asingekuwa na hio gari....pengine huyo alienae sasa ndo amekua na mchango mzuri wa mawazo ya maendeleo mpk mshkaji kanunua mkoko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom