brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
nyie ndio wambea wenyew, jambo halikuhusu unajikuta kimbelembele kama mfuko wa shatiNimekwambia acha ushamba/utoto unakimbizana na mtu usiyemjua mitandaoni unafaidikaje sasa
nyie ndio wambea wenyew, jambo halikuhusu unajikuta kimbelembele kama mfuko wa shatiNimekwambia acha ushamba/utoto unakimbizana na mtu usiyemjua mitandaoni unafaidikaje sasa
Kuna mdada nilimuhoji na yeye akasema alishawahi kuona kitu kama hicho nikamuuliza mwaka akasema ilikuwa ni 2006! lkn hakuwa interest sana kuniambia ilikuwaje kiundani zaidi.Ebwana weweee nilishawahi kuona kitu kama ichoooo utotoni pia lakini hadi leo mimi na wenzangu niliokuwa nao hatukuwahi kujua ni nini!. Ki ukweli lilipotokea wote hatukuongea kitu kama sikunde kadhaa. Tulishtuka baada ya sekunde kila mtu akawa anamuuliza mwenzake kama kaona. Tuliogopa sana na kutetemeka na mbio zikafata.
Ilikuwa Morogoro, Boma Road sisahau lile tukio. Ingawa sijawahi kujua ni nini.
Ha ha ha mkuu kama kitu kukumbuka ni ngumu hiyo ni ngumu kwako! hili tukio nalikumbuka vizuri zaidi ya unavyodhani..!Mkuu,
Tafuta Oxford English Readers book two kama hukusoma miaka ya 64 to 66
Abdul alitandika meza na kuweka viatu kama vile mtu amekaa.
Alianzisha hoja kuwa ameona malaika na amemkaribisha.
Kipimo cha kujua wewe ni mtu mzuri lazima umwone, usipomwona una dhambi.
Walipoingia mmoja mmoja ndani ya chumba kila alietoka alisema amemwona.hii ndio hadithi tunapewa
2006 na Leo mtu atakumbuka nini?
Usishangae mkuu! Hatuwezi fanana umri humu...kuna mababu, mababa, akinamama na watoto!ulikuwa bado mtoto mwaka 2006 duuh!
Inatosha kaka! Punguza jazba...kupishana maneno ni jambo la kawaida humu (kuwa mpole) kwasababu hatuwezi fanana mitazamo!tena ngoja nikufate pm nikuchane vizuri
Mkuu hujapewa kibali?Umesema vyema huijui basi ngoja niombe kibali kutoka mamlaka za juu nije nielezee ni kitu gani na hiki ndo ulichokiona. Ukipenda hata kesho waweza kiona
Kabisa mkuuu sisi tulikuwa watatu, tulipoona baadae kila tuliyekuwa tunamuhadithia anatupuuza. Lilikuwa ni tukio la ajabu sana.Kuna mdada nilimuhoji na yeye akasema alishawahi kuona kitu kama hicho nikamuuliza mwaka akasema ilikuwa ni 2006! lkn hakuwa interest sana kuniambia ilikuwaje kiundani zaidi.
kuna vitu watu huviona lkn huwa tunapuuzia tu..
Maharusi bado wapoNimekuwa na maswali.
1. Je wale maarusi wapo? isije kuwa kuna mila mlivunja.
2, Kuisha mafuta gari ilikuwa sababu maalim ili muone hiyo kitu.
3. Wazee.wa kisukuma watajuwa angea nao.
4. Wakati mwingine wanasema kuna nyoka kubwa huwa inaruka inaweza toka sehemu yenye ziwa au bahari ikaenda juu sana na kuangukia kwingine.
5.Nyota pia zinaruka. ila nyota maalum.
6, roket labda toka nchi jirani.
7. Mungu alionesha miujiza kuwa huko ni sehemu teule na mwaka atamwinua mtu wake kutawala
Ongea na wazee.
Mkuu The Boss nami nahisi itakuwa ni UFO. Palikuwa na mjadala mzito sana kuhusu mambo ya UFOs miaka ya nyuma kidogo, japo wajuvi wa maswala ya aviation wanasema haya mambo yalikuwa ni mwiko kuyazungumza kipindi hicho. Lakini baadaye imekuja kupata nafasi kidogo na watu wengi wakiwemo pilots wa commercial liners na military aircraft wamesema wanewahi kutana na jambo hilo.Watanzania wengi wako kama hao ndugu zako
yaani kitu hawakijui lakini wanakipasisha kuwa ni kitu fulani baasi
hawataki hata kujisumbua tena kujiuliza
ndo maana Africa iko hivi ya mwisho duniani
Haiwezi kuwa Satelite labda ni UFO na UFO maana yake ni 'unidentified flying objects'
labda wadau wengine watakusaidia Kiranga Nyani Ngabu
Petroli ilikuja saa ngapi mkuu, mlifika saa ngapi nyumbani, mlifika salamaNiaje wadau?
Hili tukio nililishuhudia kwa macho yangu wala sio stori..
Ilikuwa ni jijini mwanza mwaka 2006 tukiwa kwenye gari tunatoka kwenye harusi usiku kama saa nane hivi ama saa tisa usiku.
Tulitoka harusini salama salimini safari ilikuwa ndefu kidogo lkn tulipokaribia kufika gari tuliokuwa tumepanda iliishiwa mafuta!
Dereva akaipaki gari pembeni mtu mmoja akashuka kukimbilia petroli ilikuwa ni maeneo ya ghana kwa wakazi wa mwanza nadhani mnapapata.
Wakati tukisubiri petroli huku wengine wakiwa wameshuka wakibalizi ghafla tuliona mwanga wa kijani umetanda pote!
Kucheki juu niliona kitu hicho kikitoa mwanga huo huku kikienda juu kwa kasi na mwanga huo ulidumu kwa sekunde kama sita hivi na kile kilichotoa mwanga huo kilipotelea angani!
Kusema kweli mapigo ya moyo yalinienda mbiombio..Watu walisema ni satelite lkn hawakuwa na uhakika.
Kutokana na utoto nliokuwa nao sikuhoji sana lkn sasa nimelifikiria tukio lile nimekosa majibu pia nimejaribu ku google ni satelite gani ilirushwa mwaka huo but no..
Kama ni satelite ni lini Afrika ama tanzania tumeirusha huko angani mwaka 2006...? but nothing!
Wadau kama kuna alieshuhudia tukio lile na anajua ni nini kile kilichotokea anijuze maana kichwa kinanikeleketa kutaka kujua ni nini kile..?
Hata leo nimekuwa nikiwauliza na kuwakumbusha tuliokuwa nao siku ile lkn jibu walitoa ni satelite! Hivi satelite ikiwa inarushwa ndo hutokea vile..?
Na tatizo jengine nililoliona hapa ni kuwa sisi waafrika sio wafuatiliaji wa mambo kiundani.. (But not all).
Wadau ni hivyo tu kama kuna anaejua anijuze and that is all...!
Karibuni