Nilichokiona bado sijakitambua mpaka leo..

Nilichokiona bado sijakitambua mpaka leo..

Zamani na mimi ilikuwa hivyo hivyo, baadaye nikaja kujua ni mataa ya disco yanazunguka. mi nilijua majini, na mataa yenyewe yalikuwa km 8 toka nilipo.
 
Kuna watu wanadhani mtu ukiwa mtoto basi ulikuwa unaota! duh! kuwa mtoto sio sababu wkt huo nilikuwa darasa la nne kwahiyo mnataka kuniambia mtu wa darasa la nne mwaka 2006 mpk leo hawezi kukumbuka kitu..?
nimekuwa hata nikimsimulia mama baadhi ya matukio kipindi nipo mdogo lkn hata yeye amekuwa akishangaa maana anadhani kwa umri ule(hata chekechea nilikuwa sijaanza) nisingeweza kukumbuka matukio mengine!

Nyie mnaosema umri kama kikwazo ndo mnaambiwa kitu na watoto wenu kisha mnapuuzia but inakuja kuwa tatizo mbeleni..
Hata hivyo we bado mtoto, 2006 darasa la nne ? Duh kumbe tunabishana na watoto wetu humu. Mwanangu wa kwanza nje ya ndoa 2006 alikuwa darasa 2. Kwa sababu ya utoto uliona vile vidudu vinakimbia vinawaka sisi tulikuwa tunavita vimurimuri. Ndicho ulichoona na si kingine bwana mdogo.
 
kama ni utoto mbona hata wakubwa waliokuwepo siku hiyo nikiwauliza wanalikumbuka tukio hilo na wao ndio walisema ni satelite.
kuwa mdogo sio kigezo mtt wako anaweza kukwambia jambo ukapuuzia lkn kikawa cha kweli
 
Hapana nilipigwa stop ghafla na mzee mmoja nikiwa nachukua video, nlikawekwa kwenye kiti maalum nijieleze hiyo tabia ya kupiga picha imeanza lini na kwa nini.
BIG LIE
 
Hapana nilipigwa stop ghafla na mzee mmoja nikiwa nachukua video, nlikawekwa kwenye kiti maalum nijieleze hiyo tabia ya kupiga picha imeanza lini na kwa nini.
Uongo tu.... Kwani ukisema kweli utapigwa?
 
Twende moja kwa moja kwenye mada,hao walikuwa wenyewe,sasa ni wakati wetu wa kufanya utafiti kivyetu,kwanza mimi nitakuwa nawahoji watu kama sailors kwenye victoria,au barahi ya hindi,long haul drivers,fishermen,na watu ambao hawajui chochote kuhusu extra terresrial beings.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom