K Vant ilivyosababisha bosi wangu pisi kali anichukie mpaka leo

tRNA

Member
Jan 10, 2023
88
288
Wadau nina kisa kimoja ivi huwa najilaumu sana nilichezea bahati kweli Golden chance never come twice nakumbuka kipind nafanya kazi kwenye shirika moja iv kigoma nilikuwa na boss wangu mmoja iv asee alikuwa ni pisi kali balaa mtoto anakila sifa umbo, rangi , alikuwa mzazi wake mmoja mhindi mmoja mbongo.

Sasa kuna kipindi nilikuwa natokea dsm narudi KG kuendelea na majukumu yangu baada ya likizo yangu kuisha huyo boss wangu tumuite Briana alipata taarifa kutoka kwa washikaj zangu ambao tupo nao ofisi moja kuwa natoka dsm nakuja kg akanicheki kwa simu kuwa nikifika dom nimsaidie kuna mzigo wake nimchukulie niende nao kweli nilifanya ivo nilifika nao fresh kabisa.

Kesho yake jioni mida ya saa moja moja alinicheki kwa simu nimpelekee mzigo wake nikamuuliza upo wapi akaniambia yupo room kwake maana tulikuwa tunaishi staff compound moja ila majengo tofaut yeye alikuwa jengo la VIP kidogo basi mida ya saa mbili usiku nikamuibukia room kwake akaniribisha fresh nilimkuta kavaa kibukta flan iv na tishet mtoto mashallah asee mate yakanitoka nikajisemea kimoyo moyo kwamba akijichanganya leo namla sijali kama ni boss wangu potelea mbali nilimkuta anacheki movie kwenye pc kitandani kwake pembeni alikuwa anakunywa wine akanikaribisha nikamwambia ah wine situmiagi labda ingekuwa k vant sawa akasema k vant unakunywa kweli nikamwambia ndio eh mara akanyanyuka akafungua sijui wapi akatoa k vant ndogo akanipa nikasema kimoyo moyo eeh sasa hapa kaisha nitamfanyia umafia then kesho nitasingizia sielewi chochote.

Nikaanza kupiga vant yangu mdogo mdogo huku tunacheki movie yeye kakaa kitandani mimi nipo kwenye kiti ghafla nikasema sioni vizuri movie naomba nije nikae kitandani akasema njoo kimoyo moyo nikasema huyu kaisha asee huku nachekelea vibaya mnoo nilivyo kaa kitandani pale nikaanza vurugu mtoto akawa kama anataka kuonesha ushirikiano iv ila mara ghafla akanibadilikia tRNA please toka nje ndo nini unataka kufanya hujui mimi ni nani yako unataka kunibaka au toka nje please kabla sijakuitia walinzi asee k vant yote ilikata maana manzi alikuwa serious ghafla hapo hapo nikanyanyuka nikasepa hapo ilikuwa mida ya saa tano usiku.

Nimefika gheto nikawaza sana ile chance asee nimeikosa iv iv kula kimasihara niliumia sana asee but nikaamua kupotezea kesho yake kazin fresh salamu kama kawa yani normal life tu as usual bila shida yoyote.

Ikapita kama week 2 iv nakumbuka iyo siku weekend jumamosi nilikuwa na wanangu tunakunywa k vant kwenye pub moja ghafla text ikaingia normal text kucheki nakuta ni briana kanitext " tRNA mambo uko wapi?". Nikamwambia nipo na wadau nikamtajia jina la pub tupo hapa tunakunywa akasema unarudi sangapi compound nikamwambia mida ya saa sita sita nageuka vip kwani kuna tatizo au changamoto yoyote akasema ndio kuna tatizo nikamwambia tatizo gani mama akasema yupo vibaya ana nyege mpaka hajielewi so nikirudi hiyo saa sita nipitilize kwake moja kwa moja. Asee ile text nikikumbuka huwa najilaumu kwann sikuchukua chopa(boda) nipae fasta nikajilie mtoto niachane na ma k vant nikamwambia poa mama nakuja usijali akasema halali ananisubir mpaka nifike.

Ghafla hali yangu ilibadilika pale nikawa ni mtu mwenye furaha kweli kweli nikaagiza na k vant nyingine kubwa kwa furaha sana kwamba tupige ile vant ikiisha nisepe chap kwa haraka nikajilie vyangu kwa hasira.

Kula vyombo kula vyombo na wadau huku story zikikolea ila mimi nina yangu kichwani tu namuwaza jinsi nitakavyo mkunja leo kumbe wakat napiga hesabu zangu hizi kichwani kumbe k vant nayo inahesabu zake kichwani mwangu asee nilikunywa vant nyingi sana kisa tu furaha and nikienda kule atanieleza kwanini siku ile alitaka kuniitia walinzi.

Kula vyombo kuna muda nikasimama sasa nisepe ebhana nilikuwa najisikia wenge la dunia yani naona nyota nyota nikasepa pale bila kuaga (hii ndo desturi yangu always) hapo ni saa sita na nusu simu ikaita kucheki mtoto anapiga nikapokea uko wapi nikamwambia ndo nakuja mama hapo mdomo mzito kilo 100 nina wenge balaaa asee nikachukua boda inirudishe compound njian nikamwambia boda embu simama mara moja nirudishe chenji asee nilitapika wenge likazidi mara mia nikafika compound cha ajabu nilienda straight moja kwa moja room kwangu nakati nilitakiwa niende kwa briana ananisubir asee hii scenario mpka leo sielewagi nililala na viatu bila kujitambua naamka asubuhi asee nacheki simu nakuta missed call 20 na text 8 za mtoto yule manzi alijua kulalamika asee sikujua kumbe madem nao wanaumia kiasi kile wakijiandaa alafu mwamba usitokee kama sisi tunavyojiandaa alafu hawatokei wanakula nauli.

Yule manzi hakutaka tena mazoea na mimi kuanzia lile tukio litokee alikata kabisa mazoea na mimi alikuwa ananikwepa vibaya mnoo nahisi alikuwa anatamani hata nifukuzwe kazi ili asinione machoni pake yani hata kuongea ni ilikuwa tunaongea mambo ya kazi tu nothing else

Haikupita muda nilihama mkoa nikaja dsm kuna siku alipost status whatsap anakula birian kwenye mgahawa mmoja mzuri wa rafik yake nika reply “briana wapi hapo nataka twende siku pamoja tukale wote biriani” lengo la kumwambia ivo ni ili nipate nafas ya kuongea nae ili tuweke mambo sawa asee alicho nijibu sikutegemea aliniambia hana muda yupo busy sana kama nimepapenda atanielekeza ni wapi niende nikale daah

Kama kuna mdau alishawahi kupoteza fursa ya namna hii kwa style yoyote ile asee tupe story ilikuwaje?
 
Mkuu inaelekea hukua na ukame 😂 yani mtoto anakwambia ameloa we bado unang'ang'ana na K-Vant, ilibidi uchukue chopa ubebe na K-Vant yako ukanywe huko huko wakati unapiga show, ukaishia kurudisha chenji tu 🤣🤣🤣

Sasa we nipe namba yake ili nikakulipie deni lako mkuu 😂
 
Mkuu inaelekea hukua na ukame yani mtoto anakwambia ameloa we bado unang'ang'ana na K-Vant, ilibidi uchukue chopa ubebe na K-Vant yako ukanywe huko huko wakati unapiga show, ukaishia kurudisha chenji tu

Sasa we nipe namba yake ili nikakulipie deni lako mkuu

acha tu mkuu huwa sinaga mchezo na mbususu ikiingia kwenye 18 zangu lakin hili tukio nashangaaga sana nahisi na nguvu za giza zilitumika maana kg sio mchezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom