KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 35,793
- 86,547
- Thread starter
- #21
si rahisi kama unavyodhani na udogo sio tatizo nina kumbuka na hata majuzi nilimpigia simu mtu ambae alikuwepo kwenye hilo tukio na analikumbuka vizuri tu lkn nilivyomuuliza yeye mpk sasa anahisi ilikuwa ni nini alisema hajui..! how can a dream become like that..?Umesema ulikuwa mdogo,... Kuna uwezekano ulikuwa umelala kwa uchovu wa harusi, na hAyo uliyoyaona ni ndoto...achana nayo.