Nilichokiona bado sijakitambua mpaka leo..

China ndo Wameweza Kuwahukumu Mafisadi hapa tutabaki kudanganywa Tuu Fisadi wakat ulikula Nae 10% ya Kila Tenda
 
Kuna siku nishatoka nje saa nane hivi ucku ile natoa dushe hivi ili nikojoe ghafla nikaona mwanga mkali mwekundu toka angani. Umeangaza km mchana vile ila sekunde chache sana na kuzima ghafla tena. Ila nikaja kugundua ni kimondo kinaungua pale inapogongana na oxygen. Dunia yetu ina mvutano mkali hivyo jiwe lililopaishwa toka sayari yenye mvutano mdogo iliyo karibu na dunia mfn Mars. Jiwe huelea hewani kwa mda mrefu sasa siku ikikutana na nguvu ya mvutano wa dunia, huvutwa kwa kasi sana huku ikigongana na oxygen na kutoa cheche yenye mwanga mkali. Nyingi zinaishilia kuungua hewani na marachache pia hupiga ardhi Mfano kimondo cha chunya kilidondoka mwaka 1920. Na urusi ilidondoka mwaka juzi pia. Babu yangu aliwahi kunipeleka kwenye maeneo unayodai shimo ilimodondokea nyota kipindi waingereza walipoanza kutawala Tanganyika. Anasema wazungu walikuja wakachimbua na kutoa jiwe jekundu gumu na kuodoka nalo.
 
Mkuu The Boss nami nahisi itakuwa ni UFO. Palikuwa na mjadala mzito sana kuhusu mambo ya UFOs miaka ya nyuma kidogo, japo wajuvi wa maswala ya aviation wanasema haya mambo yalikuwa ni mwiko kuyazungumza kipindi hicho. Lakini baadaye imekuja kupata nafasi kidogo na watu wengi wakiwemo pilots wa commercial liners na military aircraft wamesema wanewahi kutana na jambo hilo.

Japo wataalam nao husema pia muda mwingine kuna watu waliona nyota ambazo zina miale mikali na ziko mbali na uso wa dunia na kutengeneza illusion kuwa ziko karibu na ni UFOs. Ila wapo ma pilots wa kijapani ambao walisema walishuhudia kabisa hiyo object na hadi kwenye rada ya ndege yao waliione lakini bado swala hili limekuwa ni utata.

Kwa wapenzi wa discovery channel kuna kipindi walikuwa wanaonyesha sana the hidden truth/conspiricay behind the UFOs. Wengi wakikataa kuhusu hizo objects na wengine wakitoa shuhuda kuwahi ziona na pia yuko pilot aliyeshuhudia kuwahi kuifuata hiyo object na kujaribu kuipiga risasi akiwa na fighter jet miaka hiyo.

Wengine wataongezea.
Uyo pilot nmewai kuckza interview yke but alipoteza mwelekeo mana Objects inakwendq kwa mwendo wa kasi ya ajabu
 
ile moja iltokea pale ISRAEL.nafkiri ndo best of UFO video clip.iltoa mwanga mkali jiji la Jerusalemu lote likaangaa ajabu then kikipaa juu kwa mwendo wa kasi sn.kikapotea
 
293EE99A00000578-3106066-image-a-14_1433173514084.jpg
Nn io mkuu
 
Kuna siku nishatoka nje saa nane hivi ucku ile natoa dushe hivi ili nikojoe ghafla nikaona mwanga mkali mwekundu toka angani. Umeangaza km mchana vile ila sekunde chache sana na kuzima ghafla tena. Ila nikaja kugundua ni kimondo kinaungua pale inapogongana na oxygen. Dunia yetu ina mvutano mkali hivyo jiwe lililopaishwa toka sayari yenye mvutano mdogo iliyo karibu na dunia mfn Mars. Jiwe huelea hewani kwa mda mrefu sasa siku ikikutana na nguvu ya mvutano wa dunia, huvutwa kwa kasi sana huku ikigongana na oxygen na kutoa cheche yenye mwanga mkali. Nyingi zinaishilia kuungua hewani na marachache pia hupiga ardhi Mfano kimondo cha chunya kilidondoka mwaka 1920. Na urusi ilidondoka mwaka juzi pia. Babu yangu aliwahi kunipeleka kwenye maeneo unayodai shimo ilimodondokea nyota kipindi waingereza walipoanza kutawala Tanganyika. Anasema wazungu walikuja wakachimbua na kutoa jiwe jekundu gumu na kuodoka nalo.
Ilo jiwe unahisi llkua na nin mkuu?
 
Hiyo inaitwa AURORA
search google au wikipedia utaiona, ni kitu cha kawaida tu
 
Uyo pilot nmewai kuckza interview yke but alipoteza mwelekeo mana Objects inakwendq kwa mwendo wa kasi ya ajabu
Ni kweli MC7 kuhusu huyo pilot. Wanasema in a matter of second object inashift kwenda distance kubwa sana. Na anasema ni kama hamna alichokuwa analenga maana hamna madhara aliyo ona kwenye hiyo object.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom