Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 1,828
- 2,432
Unaishi kwa wasiwasi sana. Mbona swali la kawaida.Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa Wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikua mrembo nikaona huyu akinikubali Na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa.