Wapenzi wangu wa zamani watano wanataka kunioa baada ya kusikia nafanya kazi kitengo nyeti!

Muzine

JF-Expert Member
May 4, 2017
32,366
60,406
Jamani ni mwaka umeisha sasa toka nipate hii kazi.

Nakumbuka kipindi nahangaika kutafuta kazi nzuri niliachana na wanaume kwa sababu nilikuwa nafanya kazi ya mshahara mdogo Hivyo nilikuwa na shida kibao si mnajua mm ninavyopenda mahela .

Kuna mmoja ni mc maarufu sana hapa Tz alinitesaa sana huyu mwanaume nilikuwa najipendekezaa kuolewa naye lakini weee alikuwa anaona mm nitakuwa zigo au golikipa maaana napenda sana mahelaaa.

Kuna mwingine huyo akaamua kabisa kutafuta mwanamke mwenye kazi nzuri lakini naona wamebwagana yupo yupo tu.

Yani nakumbuka huyo mwingine nilimdanganyaga sina kazi weee ikawa kama hanipendi tena si anajua nitamtegemea kila kitu yaniii acha kabisaaa.

Mimi sasa niliapa kwamba ipo siku moja na mimi nitawakomesha kwa walichonifanyia nikatafuta diary nikatunza namba za watu wao wa karibu nilichokifanya ndani ya mwezi huu ni kuwapigia marafiki zao na kuwaambia Mafanikio yangu na kuwakomesha nimewatumia na mapicha picha nikiwa kwenye kitengo changu cha kaziii weeee ni balaaa.

Naona sasa ninavyopigiwa simu na sms za mahabaa kama yotee eti wanataka kunioaaa weeeeh na kama mpo hapa Jf nawaambiaje mlisema mimi wa nini Mwenzenu alinichukua akasema nitakipata lini.

Poleni sana wanaume mnaopenda mteremko kama x zanguuu.

Yani ninavyowajibu shomboo sasa kama sina akili nzurii

Yani kunikataa kwao ndio kulinipa Motisha ya kupambana zaidi.
Asante mme wangu mganga kwa zawadi ya kuniweka kwenye kitengo nyetiii kwa kweli.

Asante marafiki nilijua tu lazima mfikishe umbeyaa laiti mngejua nilikuwa kwenye kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hali halisi,hata wanaume wanaulizwa na familia zao kama watarajiwa wao wanafanya kazi.
 
Vijana wa kiume wa kisasa wanajielewa, maisha ni 50-50, kama kweli uko kitengo nyeti kubali haraka sana, maana ukitoka hicho kitengo sidhani kama utapata kidu:cool::p;)me cha mbegu..
 
Jamani ni mwaka umeisha sasa toka nipate hii kazi.

Nakumbuka kipindi nahangaika kutafuta kazi nzuri niliachana na wanaume kwa sababu nilikuwa nafanya kazi ya mshahara mdogo Hivyo nilikuwa na shida kibao si mnajua mm ninavyopenda mahela .

Kuna mmoja ni mc maarufu sana hapa Tz alinitesaa sana huyu mwanaume nilikuwa najipendekezaa kuolewa naye lakini weee alikuwa anaona mm nitakuwa zigo au golikipa maaana napenda sana mahelaaa.

Kuna mwingine huyo akaamua kabisa kutafuta mwanamke mwenye kazi nzuri lakini naona wamebwagana yupo yupo tu.

Yani nakumbuka huyo mwingine nilimdanganyaga sina kazi weee ikawa kama hanipendi tena si anajua nitamtegemea kila kitu yaniii acha kabisaaa.

Mimi sasa niliapa kwamba ipo siku moja na mimi nitawakomesha kwa walichonifanyia nikatafuta diary nikatunza namba za watu wao wa karibu nilichokifanya ndani ya mwezi huu ni kuwapigia marafiki zao na kuwaambia Mafanikio yangu na kuwakomesha nimewatumia na mapicha picha nikiwa kwenye kitengo changu cha kaziii weeee ni balaaa.

Naona sasa ninavyopigiwa simu na sms za mahabaa kama yotee eti wanataka kunioaaa weeeeh na kama mpo hapa Jf nawaambiaje mlisema mimi wa nini Mwenzenu alinichukua akasema nitakipata lini.

Poleni sana wanaume mnaopenda mteremko kama x zanguuu.

Yani ninavyowajibu shomboo sasa kama sina akili nzurii

Yani kunikataa kwao ndio kulinipa Motisha ya kupambana zaidi.
Asante mme wangu mganga kwa zawadi ya kuniweka kwenye kitengo nyetiii kwa kweli.

Asante marafiki nilijua tu lazima mfikishe umbeyaa laiti mngejua nilikuwa kwenye kisasi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujaolewa ushaa liwa na wa5 ukiolewa sijui papa itakua imefumuliwa na wangapi ?Duuh poleni sana waoaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom