Is that it!You deserve the name.
Ndege ya nini si upitie hapa Kenya unaingia EritreaUkishafika Eritrea utaelewa. Safari yake ndefu kweli ndege ni hadi Misri ndo unapata ya kuunganisha. Ingawa nasikia Ethiopia Airline nao wapo njiani kuanza kwenda huko.
potezeeni.
sa hivi haki sawa a.k a PASU BIN PASU.
vumilieni ni mapito tu
..waache waendeSasa mkienda huko na sisi huku je.........?....
Ndio maana ake,tumeshachoka kuuziwa bora tufuate vya bure burena wengi ni wanaume
Sawa mkuu,ila hiyo avatar yako imenikumbusha mtu fulani hivi.....
Sawa mkuu,ila hiyo avatar yako imenikumbusha mtu fulani hivi.....
Inakukumbusha nani dadaa Nifah?Sawa mkuu,ila hiyo avatar yako imenikumbusha mtu fulani hivi.....
asili ya waeritrea ni jamii za wakushi ambao ni wahabeshi,wasomali kwa hapa kwetu ni wairaqw wa manyara na waburunge wa kondoaWalio wengi watoto wa kule ni kizazi cha mababu zetu waliorudishwa wakati wa movement za ant-slaves, pindi hicho Africa wanakataliwa na ulaya wanakataliwa, Sijui kwa nini tulichelewa kuwaruhusu wamwagwe Tz japo ingesaidia vurugu za kupata visa.
ila sample iliyowekwa inaonyesha vitoto ni vyombo hasa duh
Mathna sunah NifahHiyo nchi sio sehemu salama ya kuishi,nakupenda Tanzania.
Weee buddy stop your big lies!!!BAD NEWS
The Eritrean goverment has clarified that the directive relating to 2nd wives is strictly for Eritrean nationals only.
Any foreigner who wants to marry an Eritrean girl has to serve in the army for two years first.