Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,377
Eritrea nakuja, subirini huu mradi wa gesi nihamishie kwenye akaunti yangu halafu naja zoa wanne, swafi mnoo Eritrea
Dini yenye Kuruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja ni UISLAMU PEKE YAKE.
Sasa sijui kondoo watafanyaje huko!
Itabidi wahame au wasilimu.
Wakiambiwa UISLAMU ni Solution ya kila kitu wanakuwa wabishi.
Ona sasa kasheshe hii.
Siku ya pili ss nasotea visa hapa ubalozi wa eritrea,watu tunaoomba visa ni wengi hapa na visa yenyewe imekuwa ngumu kupatikana km visa ya uingereza!Kuna wajinga wanakimbilia ulaya eti!!
Nhahahahahhaha!Wawuli Tu? Hawatoshi inabidi ubebe wanne au watano. Wako zaidi ya milioni 3 mkuu
Teh teh teh.Everything was funny here until came one religious fanatic !diot
nikutakie safari njemaNdio kwanza niko Namanga nataka kuvuka boda niingie Kenya
Teh teh teh.
If you are one of those pleasure seekers then this is the wrong place sweetheart.
Take a chill pill and relax bwaty boy.
Dont hate the game pal, hate the player.
na wengi ni wanaumeSiku ya pili ss nasotea visa hapa ubalozi wa eritrea,watu tunaomba visa ni wengi hapa na visa yenyewe imekuwa ngumu kupatikana km visa ya uingereza!
Teh teh teh.Doesn't have anything to do with the topic, unatakiwa ubebe vitabu vyako vya dini ukafungue madrasa, mwarabu mweusi.
.hahaa duh...mademu wa bongo si mnajari pochi...unalala na demu anafikiria utampa sh ngapi...ss hao wenzenu wanataka pakujistiri tuu...Sasa mkienda huko na sisi huku je.........?....
Teh teh teh.
You started with your masters tongue!
Over a sudden you jump back to bantu!
Kambafff..
You ain't nobody to tell me what to do homy.
potezeeni.Sasa mkienda huko na sisi huku je.........?....
Slave is my middle name honey.Bantu isn't a problem here, that's the tongue I can use better than any other. Kwanza ulisema uislam dini ya kweli and now laughing at me cause I fail to continue with English? That shows how mentally slave you are