Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,416
- 82,368
Kwani wamesema warembo wao wachukuliwe au ni sheria (kwanza nasikia bado ni muswada) kuwa wanaume wa Eritrea ni lazima waoe wake wawili?Kwani unaenda kuishi huko, suala la msingi ni kuchukua warembo na kugeuza home Tz.