Shemtibuko
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 728
- 1,014
Kama ni bundle jamaa wa Eritrea wamewekewa unlimited bundle....!
Ha ha ha hanipati kumbatio linakaribia kuzaa Matunda mema nalo Lina wivu balaaaaah! Mbwembwe tu, lakn si unakumbuka naww ni miongon mwa maadui zake? Alisema atadili nao wote hahahaaa!
Mkuu vp kumbatio
round trip au?Taxes and fees included: Euro 982.44 r
Mkuu hujakosea ndo huyohuyo.Hivi ni Mkuu ndio yule jamaa anayesema hakuna Ukimwi unaopatikana kwa ku sex ???
Mkuu imeshapita hiyo. Grand Mufti wao ashapitishaKwani wamesema warembo wao wachukuliwe au ni sheria (kwanza nasikia bado ni muswada) kuwa wanaume wa Eritrea ni lazima waoe wake wawili?
Sawa mkuu,ila hiyo avatar yako imenikumbusha mtu fulani hivi.....Mkuu imeshapita hiyo. Grand Mufti wao ashapitisha
tumeambiwa tufuate manabii....kwani ibrahim alikuwa na mke mmoja si alioa wengi......Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea
Wale wanaume wa Eritrea wanaokimbia nchi yao wanamaana gani
Unarudi kufanya nini tena?Ticket kwenda na kurudi ni kiasi gani
Nyumbani ni nyumbani tu mkuu!! Magufuli kidogo anarudisha matumaini kiasi flani ya kuendelea kuishi hapaUnarudi kufanya nini tena?
Dini yenye Kuruhusu kuoa zaidi ya mke mmoja ni UISLAMU PEKE YAKE.Kuhusu dini, hasa ukristo inakuwaje huko eritrea