Arturo mateo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 636
- 1,085
Big kaka ,mbona kama unajipigia chapuoNamfahamu ndo aliyetutafutia sehemu ya kupiga pombe
Big kaka ,mbona kama unajipigia chapuoNamfahamu ndo aliyetutafutia sehemu ya kupiga pombe
Kwanini?Big kaka ,mbona kama unajipigia chapuo
Naona kama umeji quote mwenye we,au ulisahau badili id,anyway nitakuja kusafisha macho,nitakuchekKwanini?
Sidhani,kuna sehemu Wanaume ni wengi kuliko Wanawake.Hii hali hata Tz ipo ila haijatangazwa maana idadi yetu wanaume hata tugigawana mabinti watatu wengine watabaki.