Haahaaa..... mnaenda kwa miguu au?Ushafika wapi mkuu unisubiri?
Vinakupita hata weweee.... Mkuu?ila sample iliyowekwa inaonyesha vitoto ni vyombo hasa duh
ndiyo maana yake mkuuVinakupita hata weweee.... Mkuu?
Kwani unaenda kuishi huko, suala la msingi ni kuchukua warembo na kugeuza home Tz.Hiyo nchi sio sehemu salama ya kuishi,nakupenda Tanzania.
Hiyo nchi sio sehemu salama ya kuishi,nakupenda Tanzania.
Mkuu niko serious kabisa umefika wapi? Taratibu za uraia zikoje huko?Man mi sigeuki nyuma, ukifika utakuta nshaoa wanane tayari