Wala usithubutu maana wanaume wenyewe wanajaribu kukimbia nchi lakini wakifika border wanakula shaba, wengi wanakimbia kwa kukataa kujiunga na national service lakini hawafanikiwi that means wanaume wengi wamepoteza uhaiHiyo nchi hutaweza kuishi, nimepita hapo. Unachoweza 'kuokoto' mtoto mmoja na kurudi nae Bongo, maana wanapenda kweli kuondoka nchini humo, lakini hawana namna tu.
tena idadi unayotakaUmeonaeee, watu tunahangaika kusaka relat'nshp kwnye dating sites mbalimbali kumbe kuna sehem ya kujizolea wa bure bure hvo!!
ha hahaha haya bwana .. duh ngoja nimgande mtu soon nahisi nitakosa sokoNdio maana ake,tumeshachoka kuuziwa bora tufuate vya bure bure
Wazinifu wanashangilia utafkiri wana uwezo wa kwenda Huko.Wala usithubutu maana wanaume wenyewe wanajaribu kukimbia nchi lakini wakifika border wanakula shaba, wengi wanakimbia kwa kukataa kujiunga na national service lakini hawafanikiwi that means wanaume wengi wamepoteza uhai
Hilo nalo nenoooo, mlo shida ni kuwaza uzinzi tu, bora umelionaWazinifu wanashangilia utafkiri wana uwezo wa kwenda Huko.
Watu nauliza za dldl zinawapa Tabu halafu wanapiga hesabu ya kwenda kuoa wanawake wawili.
Ashk na Uraru ni kitu kibaya sana.
Mate yanawatoka halafu uwezo hawana.
Si ndo maana Maradhi ya zinaa Bongo hayaishi.
Mkeo umemzeesha wamwona hafai tena!Wanawake wazuri sana cz awana vitambi kama wa kibongo
Fanya uwahi pande hz mkuu,wenzio tushajiopolea vimwana tunajiandaa kurudi TZ ssUmeonaeee, watu tunahangaika kusaka relat'nshp kwnye dating sites mbalimbali kumbe kuna sehem ya kujizolea wa bure bure hvo!!
Sura mbovu kufa hutaki.
Teh teh teh.
Mtu akikutazama utafkiri nyani kaonja ukwaju.
Namfahamu ndo aliyetutafutia sehemu ya kupiga pombeKule nchi bado haijatulia ndo maana watu wa Eritrea wanakimbia sana, maana amani bado hajawa stable, na vile visichana vyao vina wivu noma, halafu kuchapiwa ni sehemu ya maisha. Kuna Mbongo mmoja yupo pale ana zaidi ya miaka 20, ukifika Asmara ni mtu maarufu sana.