Huyu anataka kufanya maigizo gani kwenye taifa hili?mbona masuala ya kitaifa yanafanywa ya chama.
Nashangaa sana kuona jinsi ambavyo suala nchi linafanywa kuwa la kichama.
Dodoma muda huu anachangia Zitto juu ya ripoti husika ,wakati huo huo huko Dar JK ananguruma na vyombo vyote vya habari na kuliacha hili la kujadili Richmond kama sio jambo la msingi.
Hii risala mimi inanishangaza sana .Wanasema JK ameifanya Nchi iwe na utulivu na amani .Kuna vizee hapa hata sijui vimefikaje hapa ni makofi tu na kumwaga sifa .TVT ni chombo cha Taifa na kwa maana hii Bunge could come first than CCM.Lakini mimi kama kawaida nasema kwa JK Chama ni mbele then Taifa .
Lunyungu,
Ni usanii mtupu.CCM hawana jipya kwa hiyo lazima wafanye hii public relations stunt.
mbona nanusa harufu ya viti vya ubunge kuwa wazi. Ningekuwa mimi Lowassa, Msabaha na Karamagi, naamua kujiuzulu Ubunge ili CCM walipie gharama ya uchaguzi..