NIKO LIVE toka Diamondo Jubilee

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,208
2,000
Ki-Protocol Rais anastahili kupewa vyombo kuliko Bunge. Hii kwa katiba ya sasa. may be tukibadilisha . Isije kuwa ile issue ya Adam Malima Vs Mengi ktk vyombo vyake vya Habari...nafikiri hii kesi yafahamika.

[SIZE]


Chuma hiyo protocol ya namna hiyo ipo kwenye Katiba gani na kipengele gani!!?
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,875
2,000
Ki-Protocol Rais anastahili kupewa vyombo kuliko Bunge. Hii kwa katiba ya sasa. may be tukibadilisha . Isije kuwa ile issue ya Adam Malima Vs Mengi ktk vyombo vyake vya Habari...nafikiri hii kesi yafahamika.

JK anaharibu kuanza kushambulia watu ambao walisimama kidete kuamsha umma wa watanzania na wabunge juu ya Richmond...angekaa kimya ingetosha pia kuwa kampeni ya CCM, kuanza kutangaza huku wengi tunaingiwa na mashaka juu ya maamuzi yake.

Kwanza Baraza lenyewe BOMU...may be kikao cha bungeni kiwe kidedea kuutokomeza ufisadi...


I always said and knew that JK ni mwaminifu kwa Chama chake na marafiki zake then Tanzania .So anaonyesha wasi wasi wangu kwa uwazi maana nimekuwa namshuku siku zote .
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,875
2,000
JK anasema anangoja kwa hamu mapendekezo ya Kamati ya Mwakyembe na serikali ita act haraka sana baada ya kupata majumuisho Bungeni .
 

Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,661
2,000
kaaazi kwelikweli.
Ila naamini kuwa kuna mchezo wa kisiasa unachezwa hapa.
Ninahisi wanaamini kuwa tukio la lowasa limezema mpaka matokeo ya ile ripoti ya BOT.
Ninapata shaka.
Na katika hotuba yake bado sijapata focal point mpaka sasa. namsikiliza hapa
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,875
2,000
Asanteni nami naenda off sasa . JK kamaliza sasa na anamshukuru Dr.Shein . Sina la ziada toka hapa Diamond Jubilee .Nakunja jamvi natafuta kitu cha kunywa maana joto ni kali .Anaendelea kumwaga sifa kwa Pinda sasa .
 

Chuma

JF-Expert Member
Dec 25, 2006
1,329
0
Mliopo DODOMA endeleeni kuteletea LIVE yanayojiri...Maana MAFISADI SPORTS CLUB hawataacha kuzima nguvu za wananchi..
 

Zanaki

JF-Expert Member
Sep 1, 2006
545
195
Pamoja na kumsifia(which was expected ofcoz) lakini between the lines naona kama vile anataka aonekane kafurahia kwa mshkaji wake kuachia u PM
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,172
2,000
sina kukushukuru ww Lunyungu na mkuu kule dom kwa kutuletea news kwa wakati maana mnajitolea hamlipwi lazima tuoneshe shukrani zetu kwenu
 

Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,661
2,000
Asanteni nami naenda off sasa . JK kamaliza sasa na anamshukuru Dr.Shein . Sina la ziada toka hapa Diamond Jubilee .Nakunja jamvi natafuta kitu cha kunywa maana joto ni kali .Anaendelea kumwaga sifa kwa Pinda sasa .

mkuu Lunyungu
Asanti sana kwa kutuweka live na hotuba ya mkuu wa kaya alipokuwa anaongea na maajuza wetu.
Ila waama sijapata lolote ktk speech yake
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,875
2,000
Wana JF
I am now connected to Dodoma .Naweza kuwaletea yale nitakayo weza .Sasa anaongea Ligallama wa CCM .
 

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,225
Chacha wangwe alipendekeza kuwa bunge livunjwe ili wananchi wakachague wabunge ambao sio mafisadi na kumwezesha rais atakayechaguliwa kuweza kupata mawaziri ambao sio mafisadi.

Mbunge, Ligalama analalamika kuwa kama hawa Richmond hawajulikani ni nani haswa huwa wanalipwa hizo pesa?anasema kuwa leo amepata fax kuwa watu wa Richmond wanasema kuwa hawajawahi kuwasiliana na Lowassa na hivyo huenda akawa ameonewa kwani wenye richmond wenyewe hawajawahi kuwasiliana naye.

Ligalama anaendelea kuzungumzia kilimo ,na shamba la mpunga huko morogoro sasa sijui anamaanisha kitu gani....
 

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,225
Rais kwa kweli leo kanishangaza zaidi na huenda ni tatizo la uwezo wake kama mtawala.

Nafikiri na nilitegemea kuwa leo angezungumzia policy issue na kuset new direction ya serikali yake na sio kuzungumza vitu ambavyo kwa kweli kwa maoni yangu hakupaswa kuvizungumza leo na akijua kuwa taifa lilipita na lipo kwenye kipindi kigumu sana sana .

NO NEW POLICY DIRECTION TO THE EXISTING GVT, SO BUSSINESS AS USUAL.
 

Mtu wa Pwani

JF-Expert Member
Dec 26, 2006
4,172
2,000
Wana JF
I am now connected to Dodoma .Naweza kuwaletea yale nitakayo weza .Sasa anaongea Ligallama wa CCM .

mkuu bado sijakufahamu hivi umetoka dar sasa ushafika dom? au una nanasa kwenye radio?

mkuu hebu tuwekee wazi tukuelewe mkuu wetu
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,875
2,000
Shibuda aleta U CCM ndani ya Bunge aombwa arudi kwenye hoja .Maana alikuwa anamwaga sifa kwa Rais na waziri Mkuu na CCM yetu .
 

Msanii

JF-Expert Member
Jul 4, 2007
8,661
2,000
Chacha wangwe alipendekeza kuwa bunge livunjwe ili wananchi wakachague wabunge ambao sio mafisadi na kumwezesha rais atakayechaguliwa kuweza kupata mawaziri ambao sio mafisadi.

Mbunge, Ligalama analalamika kuwa kama hawa Richmond hawajulikani ni nani haswa huwa wanalipwa hizo pesa?anasema kuwa leo amepata fax kuwa watu wa Richmond wanasema kuwa hawajawahi kuwasiliana na Lowassa na hivyo huenda akawa ameonewa kwani wenye richmond wenyewe hawajawahi kuwasiliana naye.

Ligalama anaendelea kuzungumzia kilimo ,na shamba la mpunga huko morogoro sasa sijui anamaanisha kitu gani....

....shughuli imeanza kuwa tamu, inaonesha huyu bwana anataka kusababisha FS aitwe bungeni kujibu hoja za kibaigwa.... enewei ndo utamu wa bunge linaloshtuka dakika za mwisho. inakuwa mishemishe.
 

Bill

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
6,535
2,000
Nimekuwa na wasiwasi mkubwa sana na mkuu wa kaya yetu, inaelekea anamuogopa sana sana EL na RA kwani anadiriki kujitetea kuwa haukuwa uamuzi wake ila ni uamuzi wa kamati ya wabunge wa CCM kuwaajibisha wote waliotajwa kuhusika na sakata la Richmond. Pili anasema kama mambo fulani yangefanyika tusingefika hapa, yaani kujiuzuru PM, mbaya zaidi anasema ni mchapa kazi ameisukuma mbele ilani ya CCM. Ina maana haoni hali za waTZ zinavyozidi kuwa duni? Hakuona jinsi mafisadi walivyolitia hasara taifa hili? Hajaongea na Salva akamwelezea jinsi alivyofanya kazi na Richmond? Alivyoongea Viongozi wa CCM wanamwangusha siku ile ya miaka 31 ya CCM kule Pemba alimaanisha nini? Mbona Muungwana simuelewi? Je ni kweli ana nia ya dhati kabisa ya kutufikisha tunakopataka. Nafikiri tunahitaji Mtu wa kuthubutu, mwanamapinduzi, Jasiri kama Nyerere, Sokoine na Mwakyembe. Nilizima redio kabisa. sikufurahia. Ufisadi unapakwa mafuta!!!!! Haiwezekani. Rais umekosea,Usiwaogope hawa wana mtandao, tupo nyuma yako waTZ wote. Tupo tayari kupambana na hao wana Mtandao, najua EL ananguvu na ushawishi mkubwa ndani ya chama, lakini kwa hili hatukubali na tunakuomba uchukue msimamo thabiti ussitetereke na kuanza kutoa speech nyepesi.
 

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
23,156
2,000
..ingependekeza kama bunge lingeahirishwa ili kutoa nafasi kwa wabunge na wananchi kwa ujumla kufuatilia hotuba muhimu ya Raisi.

..sijui umahiri wa kisiasa wa Kikwete umepotelea wapi!! ameshindwa kabisa kusoma nyakati na kutambua kwamba Lowassa amevunda kisiasa. hakukuwa na ulazima wowote ule kujaribu "kumkosha" mbele ya wananchi.
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,875
2,000
Kuna siri kubwa kati ya hawa wakuu yaani RA, EL na JK .Kaeni macho watanzania .
 

Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,363
1,195
JK asema Lowasa ni safi sana .Ni mzalendo na mtu ambaye anaipenda Tanzania na kaisukuma mbele sana Ilani ya CCM. JK anasema kwamba Lowasa kaondoka lakini kaacha alama kubwa .

Lunyungu:

you r very right. Ukisikiliza hii hutoba kwa makini is like anam_CLEAR Lowasa for what he did!What a shame?? Ni kama hana_strenght ya kuja bold and clear na ku_clarify for demage Lowasa caused on the nation.

Ingekuwa wakati mzuri awe wazi na kutoa maonyo na miongozo muhimu for the rest of the mafisadi...!! He is to softy...and polite!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom