Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,466
113,548
Wana JF wenzangu,
Kuna msemo wa lugha ya Kilatini usemao "Vox Populi is Vox Dei" kumaanisha "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu"
Hili ni Bandiko la kukusanya sauti za wengi ili kutumia sauti hizo ziwe ni sauti ya Mungu.

Mimi mwana jf mwenzenu Pascal Mayalla, nina jambo langu ambalo mimi mwenyewe tuu, yaani mimi kama mimi, Pascal Mayalla peke yangu, siliwezi!. Mimi na familia yangu tuu pekee hatuwezi!, Mimi na ndugu zangu tuu, na jamaa zangu tuu na rafiki zangu tuu, pekee yetu, hatuwezi, hivyo sasa naomba kuwashirikisha nyinyi ndugu zangu wana jf ili kuli transform hili jambo langu, lisiwe ni jambo langu tuu, bali liwe transformed into jambo letu, umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu, together we can, if kila mmoja wetu will play his/her part!.

Mimi Pasikali, sio tuu ni mwenzenu, humu jf, bali mimi ni ndugu yenu kabisa wa damu. Kwa baadhi yetu tuko humu together pamoja toka ile 2006, jf ikiitwa Jambo Forums hivyo ni zaidi ya miaka 15 tukipambana pamoja bega kwa bega to make a better Tanzania!. Katika miaka hiyo zaidi ya 15, kila tunachoandika humu kwa ajili ya kulisaidia taifa letu ni tumevuja jasho, kuna wenzetu tumewapoteza humu, tumewalilia na kuwatolea machozi, kuna baadhi yetu tumekutana na visa na masahibu yaliyotutoa machozi, na kuna wenzetu humu tumewapoteza kwa damu yao kumwagwa kwa sababu ya jf, hivyo katika miaka hiyo zaidi ya 15 pamoja, naweza kusema kwa hakika JF, imeipiginia nchi hii kwa machozi, jasho na damu, na sisi wana jf, individually na collectively, tumeipigania Tanzania yetu yetu kwa machozi jasho na damu, lakini yote hiyo is not enough, tuendelee kupeleka wana jf ambao wako proud na jf na kujitambulisha in public as jf, kwa kuwapeleka kwenye ngazi za maamuzi, mimi mwana jf mwenzenu, Pascal Mayalla ni mmoja wa wana jf hao, naombeni mniunge mkono katika jambo langu hili, jambo letu hili, ili tuweze na jambo letu hili liwe.

Kuna watu tunafahamiana kupitia jf, kuna watu tumesaidiana kupitia jf, na wengine hadi kutembeleana home na kushirikiana kwenye shida na raha na kuna misiba ya wana jf, sisi wana jf we stand as one, we could drive all the way hundreds of kilometers just to bid farewell to a jf member!. What a love and solidarity?!.

Enzi zile najiunga jf nilikuwa bado kijana shababi, na mambo ya ujana maji ya moto!, kuna mikoa ya baridi kali, nilikuwa nikitua tuu na kupost kitu chochote, kutoka mkoa huo, pm zitaingia kuniulizia niko wapi na nimefikia wapi? na hadi blangeti la kuzuia baridi kali nilikuwa napata kutoka kwa wana JF!, what a love?!.

JF is Like Home to Me, It's More Than A Friend, It's A Family. Nalala jf, Naamka jf, Nashinda jf,
Kwa baadhi yetu, jf is everything!, it's a big family, sisi wengine tunashinda jf, tunalala jf, tunaamka jf, tukianza kuji consolidate na kutumia a consolidated powers ya nguvu yetu ya ushawishi as a pressure group, we can do wonders!. Hii togetherness yetu lets start using it as one, kwanza kwa kusahau tofauti zetu za kisiasa, kiuchumi, kijamii, kidini, rangi, jinsia na vyama vyetu, despite differences zetu, lets manage our diversity na tuka supportiana as one, tuka stand together as one kwa jambo letu hili, ile powers ya togetherness pamoja as jf, iwe ndio the magic behind! hili jambo letu, na amini usiamini, together, we can!, tutatusua!.

Msione watu wanakusanya the multitude of people nje nyumba zao, wakati wa mwezi Mtukufu au wakati mwingine wowote, to gether the people for a whole day na jioni baada tuu ya kuzama jua, kuwagawia Ten Ten, kuwalisha au kuwafuturisha!, it's not for nothing!.

Au matajiri ma sponsors wanashindana kudhamini timu za mpira za kama Simba na Yanga, spending billions!. Go find out wafanyakazi wao, viwandani kwa matajiri hao wanalipwa shilingi ngapi!, unaweza usiamini, it's not for nothing, the will power is everything!. Hivyo kitu ninachokiomba kutoka kwako kwenye bandiko hili sio pesa!, ninachokiomba kutoka kwako ni kitu kimoja tuu, your genuine will!, kwa wewe ku wish hili jambo langu jambo letu liwe, kwa wewe kusema "YES", hata kimoyo moyo tuu, amini usiamini, ile will power ya YES yako, na YES yake, na YES yetu na YES yangu, tukiziunganisha pamoja together, zina produce a gigantic YES power to make things happen!.
Just say YES and sit back, and watch!.

Hivyo kwenye hili jambo langu,
, nawaomba tusimame pamoja kwa kunigawia will zenu za YES kuliwezesha hili jambo langu liwe!.
  1. Kuna wakati nilipataga ajali mbaya ya Piki Piki, watu wa kwanza to break the news ya ajali yangu ni JF, Pascal Mayalla apata ajali..... hivyo nikapata msaada nikasaidiwa nikaokolewa. Thanks JF to save my life, Thanks God for JF, na baada ya kupona sikuwa mchoyo wa fadhila, niliishukuru jf Waraka wa Pascal Mayalla - Asanteni Sana!
  2. Nikapelekwa South Africa kutibiwa, Hospital ya Milpark, Wana JF wa Jo'burg walinifariji sana. Thanks for all JF brotherhood na Sisterhood naomba tuiendeleze kwenye jambo langu hili!.
  3. Gharama za Treatment ya South Africa zikawa kubwa kuliko family affordability, hivyo tukatafuta cheaper alternative as a cheap option, tukapata India, Apollo Hospital, New Delhi. Wana JF wa Dheli walinifariji sana. Nilichangiwa gharama za matibabu na Wana JF dunia nzima!. Thanks Wana JF for support enzi zile za ile ajali na matibabu, sasa naomba tena support yako!, this time sio michango na harambee ya matibabu, this time ni your unconditional support through your powers of will kwa just kusema YES kwa hili jambo langu, litakuwa!.
  4. Nikiwa India, kuna tangazo la kazi lilipostiwa humu jf kwenye nafasi za kazi, FCO ya Uingereza, nikaomba hiyo kazi nikiwa India, na nikapata, nikaajiriwa na FCO ya UK, na kupostiwa DAR es Salaam. Thanks for JF Kunipatia kazi ile ya UK, sasa narudi tena JF kuomba JF inipatie na hii kazi ya hili jambo langu.
  5. From there JF ndio kama ndugu zangu wa kwanza. Nilikuja kupata matatizo ya kuitwa Dodoma baada ya gazeti la Raia Mwema kuichapisha makala yangu ya jf as their lead story Bunge butu linaloingiliwa na kunyamaza, linapojikomba na kujipendekeza kwa Rais, linaweza kweli kuisimamia Serikali?! na hapa Sehemu ya Pili: Je, Bunge letu tukufu linajipendekeza kwa Serikali? na ndipo rungu la Spika likanishukia Pascal Mayalla ahojiwa na kamati ya Bunge
  6. Kufuatia matatizo hayo wife akaimaind Sana jf na kunishauri nichague moja ama jf ama yeye!. Huwezi amini, ili kulinda familia (family first) niliamua kuachana na if.
  7. Huwezi amini, nilijikuta nimeshindwa ndipo nikajua kumbe jf ni very addictive. Kwanza nikawa naingia Kwa siri, usiku mkubwa yeye akiwa amelala, kumbe kuna siku anashtuka na kuniona na kujifanya amelala!, alipogundua akanikumbusha kuchagua moja, nilichagua jf. Thanks for her understanding. Bado yupo standi by me!.
  8. Enzi niko fit kiuchumi, enzi zile za harambee za jf, mimi ni miongoni mwa wana JF tuliochangia jf a 6 figures!, hivyo sasa ni wakati wa jf to payback kwa kuni support, Whatever unachoandika jf, unachochangia jf, unachopost jf, unatumia nguvu zako, hivyo you invest in jf, na wewe siku una jambo lako kama hili linalohitaji support, unarudi kule uli invest your money, time and energy na wana jf mnisupport kwenye jambo langu hili kwa kuliunga mkono!, just by saying YES!.
  9. Kauli huumba!. Baada ya kuitwa njaa, kiukweli kauli ile iliniumbia njaa kwani, tenders zangu zote za publicity zilifutwa na njaa ya ukweli ikanitembelea kweli!. Ukijumlisha na Corona, licha ya kuwa na ndugu, jamaa na marafiki wenye uwezo, ni mwana JF mmoja fulani alijitokeza to my rescue to save me!. Thanks kwa mwana JF huyu!, namuomba na ajitokeze kwenye hili!.
  10. Sasa leo ninakuja tena kwenu wana JF, nina jambo langu, naomba support yenu ya hali na mali aspecially your will power just to say YES!.
  11. Kabla sijalitaja Jambo lenyewe, naomba kwanza kwa unyenyekevu kabisa, kuwaomba msamaha wa dhati Wana JF wenzangu wote tuliopisha kauli humu jf, mimi ni binadamu tuu na sio malaika, hivyo kuna watu humu tumepishana kauli, tumetofautiana, tumekwazana, tumekosana, tumetukanana, nimewakosea, nawaomba msamaha kwa yote niliowakosea na wote walionikosea nimewasamehe, ignore list yangu nime unignore, samahanini sana!.
  12. Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana!. Naomba msamaha mnisamehe kwa yote kwasababu sisi binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosa ni ubinaadamu na hakuna mkamilifu!. Please forgive me for everything and I apologize for whatever I did wrong to whoever niliye mkosea, samahani sana naomba mnisamehe!.
  13. Jambo langu ni baada ya kujaribu Kawe na kuambulia kura moja!, sasa kumejitokeza fursa nyingine. Hivyo kitu cha kwanza nilichofanya ni kuwashirikisha nyinyi Wana jf, ninacho kiomba kwenu ni kitu kimoja tuu, naomba baraka zenu, support yenu, na endorsement yenu ya will ili, kuniwezesha kutupa karata yangu tena kwenye hili jambo langu jambo letu!.
  14. Naomba kwa sasa nisilitaje hilo jambo, na nakuomba na wewe hata kama utalihisi, nakuomba usitaje, please!. Kuna sababu.
  15. Baada ya hiyo fursa kutangazwa, mimi nimejipima uwezo wangu in terms of ability yangu na capabilities nilizo nazo, nikakuona ninaweza, nina uwezo nalo in terms of ability, niko capable ninachohitaji ni just moral support. Mtu mwenye maswali ya kihivi Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli wakipata nafasi ya kuiwakilisha nchi, wataipigania!.
  16. Ninachohitaji kwenu ni kitu kimoja tuu, moral support kwa kuniunga mkono kwa sala zenu, kupitia a collective bargaining "powers of will" za wana jf wote collectively kuni endorse na kuniwezesha by goodwill zenu. Just wish me good, hiyo will power yako ina nguvu kuliko kitu kingine chochote!. Naombeni tutumie powers of positivism na affirmative kuniwezesha niweze kwa wewe kusema tuu YES hata kimoyo moyo!.
  17. Wale msio nikubali au kukubaliana na mimi, naowamba sana sana sana, na niko chini ya miguu yenu, mimi ni binadamu tuu, mnisamehe kwa yote ya nyuma na kunisaidia kwa kutochangia negative kwenye uzi huu, kama mmeshindwa kabisa kunisamehe, basi please just ignore me kwa kutochangia chochote kwenye bandiko hili ili msilete negative powers nikaja kuambulia kura moja tena!. Please nihurumieni!.
  18. Baada ya kujipima na kujiona nina uwezo, ability na capabilities, lakini natakiwa kujengewa uwezo zaidi in terms of capacity, niwe capacited ili niwe capable, niwezeshwe niweze, hata nikihitajika kunyoosha mkono mahali popote parefu, niwe na uwezo wa kuunyoosha huo mkono, urefuke na kufika popote!. Hivyo nawaombeni mniunge mkono kwa hili kupitia moral support yenu
  19. Ewe Mwana jf mwenzangu, tusahau tofauti zetu, nakuomba uniunge mkono kwenye hili, together we can!.
  20. Naamini nitayaweza yote katika YEYE anitiaye nguvu!. Mungu Nisaidie!. Sema Amen!. Hiyo Amen yako is all that I need!. Natanguliza shukrani na ubarikiwe sana!
Paskali.
 
IMG-20220728-WA0020.jpg
Kila la kheri mkuu. Unaweza na unastahili.

NB; kama mwenyekiti wako wa Chama hajakuahidi hiyo nafasi, basi unapoteza muda. Chama kina wenyewe. Haya mengine ni kukamilisha taratibu tu.
 
Kuna watu siku wakiondoka hapa duniani, kutatokea upweke wa kutisha! Pascal Mayalla is one of them. Yaani mpaka afikie kwenye point, basi ataipaka mafuta story yake kiasi huwezi kuchoka kusoma

Kila la heri mkuu. Ingawa una wakati mgumu kwa namna fulani. Maana siku zote ccm ina wenyewe. Labda kama na wewe ni sehemu ya hao wenyewe! Maana unaweza ukawa mwanachama, au unavaa yale mashati yao ya kijani yenye nembo ya jembe na nyundo, na suruali nyeusi! Halafu bado usiwe sehemu ya wenye chama.
 
Wana JF wenzangu,
Kuna msemo usemao "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu", "Vox Populi is Vox Dei"

Hili ni Bandiko la kukusanya sauti za wengi ili iwe ni sauti ya Mungu. Mimi mwana jf mwenzenu Pascal Mayalla, nina jambo langu ambalo mimi kama mimi peke yangu kama Pascal Mayalla peke yangu na familia yangu tuu, na ndugu zangu tuu, na jamaa zangu tuu na rafiki zangu tuu, pekee, hatuwezi, hivyo naomba kuwashirikisha wana jf ili hili jambo langu, lisiwe ni jambo langu tuu, bali liwe ni jambo letu, umoja ni nguvu, together we can.

Pasikali, sio tuu ni mwenzenu, humu jf, bali mimi ni ndugu yenu. Baadhi tuko humu pamoja toka ile 2006, jf ikiitwa Jambo Forums hivyo ni zaidi ya miaka 15 pamoja!. sasa. Kuna watu tunafahamiana kupitia jf, kuna watu tumesaidiana kupitia jf, na wengine hadi kutembeleana home na kushirikiana kwenye shida na raha na kuna misiba ya wana jf, we drive all the way hundreds of kilometers just to bid farewell to a jf member!.

Enzi zile najiunga jf nilikuwa kijana shababi, kuna mikoa ya baridi, nilikuwa nikitua tuu na kupost kitu chochote, kutoka mkoa huo, pm zitaingia kuniulizia niko nimefikia wapi na hadi blangeti la kuzuia baridi napata kutoka kwa mwana JF!, what a love!.

JF is Like Home to Me, It's More Than A Friend, It's A Family. Nalala jf, naamka jf, nashinda jf, jf is everything!, its a big family, tukianza kuji consolidate na kutumia a consolidated powers ya nguvu yetu ya ushawishi as a pressure group, we can do wonders!. Hii togetherness yetu lets start using it as one, Kwanza Kwa kusahau tofauti zetu za kisiasa na vyama vyetu, tuka supportiana as one, tuka stand together as one kwa jambo letu, ile powers ya pamoja ndio the magic behind!,tutatusua!.

Msione watu wanakusanya the multitude of people nje kwao for a whole day na jioni baada tuu ya kuzama jua, kuwagawia Ten Ten,kuwalisha au kuwafuturisha!.

Au matajiri wanashindana kudhamini timu za mpira za Simba na Yanga, spending billions!. Go find out wafanyakazi wa viwandani kwa matajiri hao wanalipwa shilingi ngapi!, unaweza usiamini, it's not for nothing, the will power is everything!. Hivyo kitu ninachokiomba kwenye bandiko hili kutoka kwako ni kimoja tuu, your will!.

Hivyo kwenye hili jambo langu,
, nawaomba tusimame pamoja kwa kunigawia will zenu!.
  1. Kuna wakati nilipataga ajali mbaya ya Piki Piki, watu wa kwanza to break the news ni JF, hivyo nikasaidiwa nikaokolewa. Thanks JF to save my life, Thanks God for JF.
  2. Nikapelekwa South Africa kutibiwa, Hospital ya Milpark, Wana JF wa Joburg walinifariji Sana. Thanks for all JF brotherhood na Sisterhood
  3. Gharama za Treatment ya South Africa zikawa kubwa kuliko family affordability, hivyo tukatafuta cheaper option, tukapata India, Apollo Hospital, New Delhi. Wana JF wa Dheli walinifariji Sana. Nilichangiwa gharama za matibabu na Wana JF dunia nzima!. Thanks Wana JF for support.
  4. Nikiwa India, kuna tangazo la kazi lilipostiwa humu jf kwenye nafasi za kazi, FCO ya Uingereza, nikaomba na nikapata, nikaajiriwa na FCO na kupostiwa DAR es Salaam. Thanks for JF Kunipatia kazi.
  5. From there JF ndio kama ndugu zangu wa kwanza. Nilikuja kupata matatizo ya kuitwa Dodoma baada ya gazeti la Raia Mwema kuichapisha makala yangu ya jf as their lead story.
  6. Kufuatia matatizo hayo wife akaimaind Sana jf na kunishauri nichague moja ama jf ama yeye!. Huwezi amini, ili kulinda familia niliamua kuachana na if.
  7. Huwezi amini, nilijikuta nimeshindwa ndipo nikajua kumbe jf ni very addictive. Kwanza nikawa naingia Kwa siri, usiku mkubwa akiwa amelala, alipogundua akanikumbusha kuchagua moja, nilichagua jf. Thanks for her understanding. Bado yupo.
  8. Enzi niko fit kiuchumi, enzi zile za harambee, mimi ni miongoni mwa wana JF tuliochangia jf 6 figures!.
  9. Kauli huumba!. Baada ya kuitwa njaa, kiukweli kauli ile iliniumbia njaa kwani, tenders zangu zote za publicty zilifutwa na njaa ya kweli ikanitembelea kweli!. Ukijumlisha na Corona, licha ya kuwa na ndugu, jamaa na marafiki wenye uwezo, ni mwana JF mmoja fulani alijitokeza to my rescue to save me!. Thanks kwa mwana JF huyu!
  10. Sasa leo ninakuja tena kwenu wana JF, nina jambo langu.
  11. Kabla sijalitaja Jambo lenyewe, naomba kwanza kwa unyenyekevu kabisa, kuwaeleza Wana JF wenzangu, kuwa mimi ni binadamu tuu na sio malaika, hivyo kuna watu humu tumepishana kauli, tumekwazana, tumekosana, tumetukanana, nimewakosea, nawaomba msamaha kwa yote niliowakosea na wote walionikosea nimewasamehe, ignore list yangu nime unignore, samahanini Sana!.
  12. Nimekosa mimi, nimekosa mimi, nimekosa sana!. Naomba msamaha mnisamehe kwa yote kwasababu sisi binadamu wote ni viumbe dhaifu, kukosa ni ubinaadamu na hakuna mkamilifu!. Please forgive me for everything and I apologize for whatever I did wrong to whoever niliye mkosea, samahani sana naomba mnisamehe!.
  13. Jambo langu ni baada ya kujaribu Kawe na kuambulia kura moja!, sasa kumejitokeza fursa nyingine. Hivyo kitu cha kwanza nilichofanya ni kuwashirikisha nyinyi Wana jf, ninacho kiomba kwenu ni kitu kimoja tuu, naomba baraka zenu na support yenu, ya will ili, kuniwezesha kutupa karata yangu tena kwenye hili jambo langu.
  14. Naomba kwa sasa nisilitaje hilo jambo, na nakuomba na wewe hata kama utalihisi, nakuomba usitaje, please!. Kuna sababu.
  15. Baada ya hiyo fursa kutangazwa, mimi nimejipima uwezo wangu, ability yangu na capabilities nilizo nazo, nikakuona ninaweza, nina uwezo nalo in terms of ability, na capabilities niko capable ninachohitaji ni just moral support.
  16. Ninachohitaji kwenu ni kitu kimoja tuu, moral support Kwa kuniunga mkono kwa sala zenu, kupitia a collective bargaining "powers of will" za wana jf wote collectively kuniwezesha by goodwill zenu. Just wish me good, hiyo will power yako ina nguvu kuliko kitu kingine chochote!. Naombeni tutumie powers of positivism na affirmative kuniwezesha niweze.
  17. Wale msio nikubali au kukubaliana na mimi, naowamba sana sana sana, na niko chini ya miguu yenu, mnisamehe kwa yote ya nyuma na kunisaidia kwa kutochangia negative kwenye uzi huu, kama mmeshindwa kabisa kunisamehe, basi please just ignore me kwa kutochangia chochote kwenye bandiko hili ili msilete negative powers nikaja kuambulia kura moja tena!. Please nihurumieni!.
  18. Baada ya kujipima na kujiona nina uwezo, ability na capabilities, lakini natakiwa kujengewa uwezo zaidi in terms of capacity, niwe capacited ili niwe capable, niwezeshwe niweze, hata nikihitajika kunyoosha mkono mahali popote parefu, niwe na uwezo wa kuunyoosha huo mkono, urefuke na kufika popote. Hivyo nawaombeni mniunge mkono kwa hili kupitia moral support yenu
  19. Ewe Mwana jf mwenzangu, tusahau tofauti zetu, nakuomba uniunge mkono kwenye hili, together we can!.
  20. Naamini nitayaweza yote katika YEYE anitiaye nguvu!. Mungu Nisaidie!. Sema Amen!. Hiyo Amen yako is all that I need!. Natanguliza shukrani na ubarikiwe sana!
Paskali.
All the best
 
Back
Top Bottom