NIKO LIVE toka Diamondo Jubilee

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Feb 27, 2007
4,132
1,225
Rostam anadai kuwa hakutendewa haki ya kupelekewa barua 24/12/2007 .anadai yeye anatafutwa kwa apointments na huwa siku za sikuku huwa anapumzika .

Mwakyembe anajibu kuwa wao kama kamati hawakupewa siku za kupumzika ama za sikukuu kwani walipewa siku 45 na silihusisha siku zote bila kujali sikukuu.
 

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,875
2,000
Mbona jamaa analikimbia Bunge kila mara pakiwa na hoja nzito kama hii ? Hivi tutaona adhabu kwake kwa kuwa amedharau Kamati ya Bunge ? Ama hatua huchukuliwa kwa akina Zitto pekee ??
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom