Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Mkuu umenihamasisha..mwaka huu najiwekea malengo lazma niupande kama ambavyo nimejipangia kwenda China na Dubai
 
Mkuu umenihamasisha..mwaka huu najiwekea malengo lazma niupande kama ambavyo nimejipangia kwenda China na Dubai
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] hongera sana mkuu
 
Mkuu kwa faida ya wengi ingekua vyema utueleze ni maandalizi gani hasa ya kufanya ili kuweza kupanda na kufika kileleni pasipo tatizo...
Sawa mkuu dudupori.
Kwanza niwie radhi kwa kuchelewa kukujibu, Pili, tofauti na maandalizi ya gharama ambayo kwa kifupi yameorozeshwa kwenye huu uzi, maandalizi mengine muhimu ni kuweza kutengeneza pumzi.
Kama unaishi maeneo ya milimani na kila siku unatembea either kuipanda hiyo milima wewe utapazwa kuongeza mazoezi kidogo tu.
Na kama unaishi maeneo ya tambarare na mara nyingi hutembei itakubidi ukimbie walau KM2 kila siku mwa muda wa wiki mbili mpaka tatu.
Narudia lengo la mazoezi ya mbio ni kukupa pumzi wakati utakuwa unapanda kwenye hjgh altitude.

Na ukifanya mazoezi ya kukimbia kikamilifu hautachoka hata kidogo.
Mlima Kilimanjaro unapandwa kwa mwendo wa polepole sana...
Yaani ni "PolePole".. Ndio lugha ya mlimani.
N:B mazoezi ya kunyanyua vyuma au vitu vizito hayatakusaidia.
Karibu sana Mkuu.
Karibu Kilimanjaro
 
Hahaa nasoma hii thread nikiwa APA jiwe la KUBUSU hatari sana, kupanda mlima Kilimanjaro Sio lelemama kweli ujipange.

Kuna mengi ya kukufanya ushindwe ikiwemo baridi na mabadiliko ya hali ya hewa, kuna muda unajihisi kama haupo duniani ni experience tamu sana yani ukiwa unarudi ukiona miji na makazi tena unafurahi sana na kujihisi uhai.
GO GO TREKKING Kilimanjaro ITS AMAZING EXPERIENCE
 
Ni sh ngapi?
 
Niliishia Stella point, manake nilishushwa saa kumi na mbili na dk 45 wenzangu wakasummit saa mbili na dk 10 asbh, niliumia kweli kweli. Lakini ilikuwa ni for my health hali ya hewa ilinigomea kabisa kule juu, nikawa natapika sana, nguvu za kutembea zikandon't ikabidi nirudishwa barafu mwanawane....
Basi hata mimi siwezi na Kifua chamou kijivu hiki
 
Back
Top Bottom