Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Usijaribu kupanda huo mlima jmn, nliwah panda nikaishia hapo chini kwenye vyoo vya shimo..nishasahau jina (last camp ya kupitia marangu).

Siji kupanda teena aisee, baadhi ya maeneo siez sahau
Jiwe la ukoyo
Last water
Saddle
 
Beautiful Kilimanjaro

Nilipiga hii picha jana asubuhi. Hapa ni home mlima unaonekana vizuri.

9c9fd0d17b5c0b041a26497ce47db750.jpg
 
Usijaribu kupanda huo mlima jmn, nliwah panda nikaishia hapo chini kwenye vyoo vya shimo..nishasahau jina (last camp ya kupitia marangu).

Siji kupanda teena aisee, baadhi ya maeneo siez sahau
Jiwe la ukoyo
Last water
Saddle
Unaamanisha nn
 
Kila ninapopanga Ratiba ya kwenda kuupanda Mlima KILIMANJARO basi ujue Ratiba zangu lazima zibadilike.

Lakini nna hakika kunapo majaliwa na UHAI ipo siku nitakwenda kuupanda Mlima KILIMANJARO
 
Mkuu inawezekana hukufanya maandalizi mazuri, sasa kama uliishia last point ambayo ni Mandara, jiwe la ukoyo ulilifahamu vipi? Na Saddle je?
Don't give up try again and again. Kama Marangu Route ilikushinda jaribu Lemosho au Machame, they can take u there...
 
Kwahiyo tusipande kwa sababu wewe uliishia kwenye vyoo vya shimo?

Sawa mkuu!
Panda mkuu, pengine mkuu Msigwa hakufanya maandalizi vizuri.
It beautiful to climb Mount Kilimanjaro!!
 
Kila ninapopanga Ratiba ya kwenda kuupanda Mlima KILIMANJARO basi ujue Ratiba zangu lazima zibadilike.

Lakini nna hakika kunapo majaliwa na UHAI ipo siku nitakwenda kuupanda Mlima KILIMANJARO
Yes!!! Karibu kaka...inawezekana kabisa kabisa.
Panga tena then usimamie kwa nguvu zote kile ulichoamua.
 
Kili Marathon,Kupanda Mlima...mwaka huu nitafanya kimoja kati ya hivyo..Shida ni kua kila asubuhi nikiamka ndani nauona ulee so hamu inapungua cjui why arifu?
 
Amua siku moja mkuu ujitose tu
 
Ningefurahi kama ni gharama ungeziweka hapa ili wengi tufaidike.ujue kitanzania hata ukitembelea website huwezi pata zile gharama halisi mpaka upate mtanzania aliyeenda huko.
Sawa Mkuu...
Gharama huwa zinategemeana na Idadi ya siku ambazo zinatofautishwa na Njia (route)
 
Back
Top Bottom