MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,775
- 71,888
Kurud chini ni rahisi?Ungejua hata guide alinisihi sana niendelee, nikamwambia siwezi, nilishasikia story za watu kufa huko mlimani ndio maana niliogopa kuendelea, sio maji wala glucose achilia mbali pipi vyote nilikuwa natapika, so nguvu ziliniishia kabisa, bag lenyewe lilinishinda ilibidi guide alibebe mie nikabaki na ile fimbo tu na tochi yangu kwenye paji la uso, hapo wenzangu wananendelea mbele mie nahangaika tu, dk mbili joto ukipunguza nguo dk mbili zijazo baridi, nikajisemea moyoni hivi nahangaika nini huku nimeacha mtoto wa miaka mitatu home nikifa huku mwanangu atalelewa na nani....guide nishushe plz....! Chezea kusummit wewe[emoji2] [emoji1] [emoji3]
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
Kuna sehemu utafika Hakuna hewa ya oksijen?Nlipata shida sana, hakukua na oxgen na uchovu sanaaa
Kurud chini ni rahisi?
Hizo ndo zetu kaka tunapanda sana kwa mwz mara 2mpaka 3
Hapo itakuwa n karanga camp
Ila mm huwa naona kupanda ndo rahisi kuliko kushuka chinYeah ni rahisi sana
Hapo itakuwa n karanga camp
Ila mm huwa naona kupanda ndo rahisi kuliko kushuka chin
Hzo njia za Marangu na Rongai ni rahisi mno ni za viongoz na wamama.kidume pita machame, Lemosho, londrosi, au Umbwe, na kwa mbeba mizigo (mgumu)anatambaa na kg25 begani.Tuliishia mandara tukarudi...
Ulijitahid mkuu jaribu tena utatoboa Uhuru peakKurud chini ni rahisi?
Mbaya zaidi ukitoka karanga kama ndo umeunga unapomaliza pale kilimani kuitafuta camp ya barafu huo upepo n shida mkuuJamani sisi karanga hatukulalaga, tulikula lunch pale then tukaunganisha kwenda barafu, tumefika barafu saa 12 jioni choka mbaya halafu saa tano za usiku tukaanza safari ya kusummit
Si mchezo kabisa.Hzo njia za Marangu na Rongai ni rahisi mno ni za viongoz na wamama.kidume pita machame, Lemosho, londrosi, au Umbwe, na kwa mbeba mizigo (mgumu)anatambaa na kg25 begani.
Nilipanda na baunsa mmoja hiv kwa mara ya kwanza ndo anapanda alipoona watu wenye miili midogo wanabeba mizigo akadharau sana cku ya pili tulimrudisha hoi kakata pumz hajafika hata shira oneKweli kama una pumu and alikes sio rahisi
upande