Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Sasa kwanini tusiungane ili tuukwe huu mlima,Unaweza kuta maswali unayoulizwa siku ya mwisho na malaika wa zamu ni "Je umewahi kupanda mt kilimanjaro?" jibu likiwa hapana wanaenda kukugeuza kuni..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni balaa arifu
 
Yeah.... ile ni adventure aisee, kwenye lile jiwe la kubusu ni nouma, ukikosea step kidogo tu tunakusahau, maajabu ni wale porters, wanapita pale utadhani wanapita kwenye upana wa 6 x 6
Hapo nilipigiwa story mwaka 2009 nikasema siku nikiamua kupanda mlima basi lazima nipite Machame route nione hilo jiwe la kubusu..
 
Ulikata tamaa tu Mpendwa...nasikitika sana kurudia kwako Stella, tena kwa Machame Route... Si ngumu ati
Ungejua hata guide alinisihi sana niendelee, nikamwambia siwezi, nilishasikia story za watu kufa huko mlimani ndio maana niliogopa kuendelea, sio maji wala glucose achilia mbali pipi vyote nilikuwa natapika, so nguvu ziliniishia kabisa, bag lenyewe lilinishinda ilibidi guide alibebe mie nikabaki na ile fimbo tu na tochi yangu kwenye paji la uso, hapo wenzangu wananendelea mbele mie nahangaika tu, dk mbili joto ukipunguza nguo dk mbili zijazo baridi, nikajisemea moyoni hivi nahangaika nini huku nimeacha mtoto wa miaka mitatu home nikifa huku mwanangu atalelewa na nani....guide nishushe plz....! Chezea kusummit wewe[emoji2] [emoji1] [emoji3]

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Hapo kumbe uliogopa mwenyewe...
Magaidi wazuri huwa wanawatambua watu walioshindwa na ukiona anakuambia endelea usiogope, bado unaweza. Kuna ishara za mtu aliyeshindwa lakini wewe wakutapika isingekuzuia.
Dalili za mtu aliyeshindwa huwa zinaonekana kwenye macho, ulimi au kuongea kwake.
Wewe ni hisia za mtoto wako wa miaka 3 zilikurudisha ukasahau siku zote ulizotumia tokea ulipoanza safari yako Pale Machame gate...
Let do it tena Via Marangu route kwa raha zote
 
Hio inanikumbishia 1989 mountain climbing na wanafunzi wenzangu wa SAINT CONSTANTINE SCHOOL[emoji1321]
 
Sijaenda mkuu. Acha nijipange kwa mwakani. Naambiwa kipindi kizuri ni Septemba, oktoba waweza kukutana na mvua, julai baridi ni kali saana.
Baridi sio ishu mkuu...changamoto kubwa ni upepo mkuu
 
b8052b5a9c74c50341ead5476e449827.jpg

7d255c687d1d51ca77c79c629b4a76ff.jpg

b1f77688bbfb6edc84a95bc8ab497638.jpg

c15203d7ccabe6612ccc81e22c8ff956.jpg

54109ac1229ed2f02eae829c3101743d.jpg

93e1377f45ab6dc46fe62ef22d1528bc.jpg
I love the views
 
Back
Top Bottom