Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,407
Ulipanda kama porter?
Nope, sikua na mzigo zaidi ya chupa ya maji..somebody carried for me! Kwani vip chief?
Ulipanda kama porter?
Nope, sikua na mzigo zaidi ya chupa ya maji..somebody carried for me! Kwani vip chief?
Aha nimeshtuka hutakii kuusikia tena wala kujaribu tena nikajua ulipanda kama porter maana kupanda kama porter Mara ya kwanza kuna mziki
Umeshapanda wewe?
Yap mara moja nlipitia machame mwaka 2012
Sasa uliishia wapi mkuu??
Asante sana mkuu, nikianza huu uzi utakua msaada sana.Karibu sana mkuu
Desemba nikija kula XmasMwezi wa ngapi mkuu?
Oh! Kibo hut, pengine hukujiandaa vyakutosha mkuu...
Jaribu tena aisee.
Don't Give up
Pale kwenye base ya mlima (marangu route), i was extremely exhausted