Mhhh basi sasa mpk na mbioIt need arrangement mkuu!! sio sehemu ambayo unaweza kwenda tu gafla...
The the Good and Successful Hike...you must get prepared!!!
Mazoezi ya mbio kidogo ndio msaada mkubwa...
Asante sana Mkuu.Sasa usiishie kuupenda wewe mwenyewe, kwa uzuri wa hizo picha, tengeneza website/post cards uutangaze jinsi wewe unavyojihisi umependezwa na kila kitu kuuhusu, ujiandae watalii watakapo kumiminikia kwenda na kuwaonesha uzuri wa Mlima wetu.
Nimezipenda picha!
Poa asante mkuuheeey...ni mlima mkubwa my friend!! Btw the way ukijiandaa si kazi ngumu sana.
build that interest from now!!
Ni faharani sana kufika juu ya Kilele cha Mlima Kilimanjaro...
I will,, let me think firstunaamuaje sasa?
Please if you have that Interest...say something I can help you out on this
Haswaa mamii, unatakiwa ufanye mazoezi ya kutosha kabla ya kwenda huko, mbio kwa ajili ya pumzi.... binafsi nilifanya mazoezi sana na nilikuwa vizuri sana tu, shida ilikuwa kwenye hali ya hewa wakati naelekea kusummitMhhh basi sasa mpk na mbio
Oooh safi sana ila mimi ni mvivuuHaswaa mamii, unatakiwa ufanye mazoezi ya kutosha kabla ya kwenda huko, mbio kwa ajili ya pumzi.... binafsi nilifanya mazoezi sana na nilikuwa vizuri sana tu, shida ilikuwa kwenye hali ya hewa wakati naelekea kusummit
yes...you have my hand on this...I will,, let me think first
Hutaweza sasa my dear hata njia laini laini kama marangu itakushinda piaOooh safi sana ila mimi ni mvivuu
Ulikata tamaa tu Mpendwa...nasikitika sana kurudia kwako Stella, tena kwa Machame Route... Si ngumu atiHaswaa mamii, unatakiwa ufanye mazoezi ya kutosha kabla ya kwenda huko, mbio kwa ajili ya pumzi.... binafsi nilifanya mazoezi sana na nilikuwa vizuri sana tu, shida ilikuwa kwenye hali ya hewa wakati naelekea kusummit
Sure😀Hutaweza sasa my dear hata njia laini laini kama marangu itakushinda pia
Kyala kati we kyala ipi,mkuuDah,Marangu Kyala ndio asili ya baba yangu.Marangu Kiraracha ndio asili ya mama yangu.Tuacheni utani,view ya ml Kilimanjaro a.k.a Kilema Kyaro ni habari nyingine. Am so so proudly to be Tanzanian.Mungu ibariki nchi yetu na bara letu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa kwanini tusiungane ili tuukwe huu mlima,Unaweza kuta maswali unayoulizwa siku ya mwisho na malaika wa zamu ni "Je umewahi kupanda mt kilimanjaro?" jibu likiwa hapana wanaenda kukugeuza kuni..