nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,769
yaani huko hadi kuna wakuu wa wilaya wanahangaika kufanyia kazi ile kauli iliyosema.NYIE WA KASKAZINI MAENDELEO YAMETOSHA NI ZAMU YA KUSINI,NYIE SUBIRINI..he njemba zikakaza za huko mwika zikachanga mamilioni kujenga barabara,mkuu wa wilay anazuia,huko siha ni vituko wafanyabiashara wanakimbia sababu ya vituko vya mkuu wa wilaya,hadhi ya jiji imenyimwa tumeambiwa tusahau eti
SASA MSHINDWE KWA JINA LA JEHOVAH PALE KUNA BARAKA KUBWA SANA TOKA MBINGUNI
Mfalme suleimani a.k.a solomon alikuwa na busara sana alizopewa na Mungu basi wengi duniani walisafiri kwenda kuchota hekima zake mmojawapo ni mwanamama MALKIA WA SHEBA toka Ethiopia au Cush.Alipofika Jerusalem wakapendana na mfalme solomon wakafanya sex ,mwanamama akarudi Ethiopia na mimba yake lakini jamaa alimpa zawadi nyingi sana ikiwemo pete.
Mtoto alizaliwa akaitwa Menelik au Ibn Malik kwa kiarabu,menelik alisafiri hadi jerusalem kumasalimu baba yake ambaye inasemekana walikuwa wamefana sana ingawa dogo alikuwa ni chotara,baba alifurahi sana alipomuona Menelik kavaa ile pete aliyompa Malkia wa Sheba yaani mama yake.
Legends za ki ethiopia zinadai Menelik alipewa AGANO LA AHADI na Mfalme solomoni akalipeleka Ethiopia ,wengine wanadai aliliiba na kumsononesha sana baba yake maaaana lililmaanisha big deal kwa waisrael
Hata leo hii kuna madai kwamba hilo ARK OF CONVENANT lipo Ethiopia
Legends hizo za Kiethiopia zinadai wakati fulani Menelik alipotea njia na kutokezea Mlima kilimanjaro,wengine wanadai alipigana vita na ku conquer somalia,kushuka na tana river hadi northen tanganyika,kumbuka hii ni story ya miaka 3000 iliyopita,baridi ilimzidia akaumwa na kufariki huko mlimani ,akawaambia wasaidizi wake na slaves wake,NILIZALIWA MFALME,NIMEISHI KIFAME NITAKUFA KAMA MFALME,akapanda hadi crater ya mt kilimanjaro na kufia huko,tangu miaka ya zamani mnooo wachaga walikuwa na imani kwamba ule mlima ni kaburi la mfalame mkubwa,wengine wanaamini ni mlima wa Mungu, KILEMA KYARO,Menelik akazikwa na wasaidizi wake,legends hizo za ki ethiopia zinadai atakayefanikiwa kuupata mwili wa Mwana mfalme huyo na kuipata ile pete ya mfalme solomon na kuivaa atakuwa na hekima kama za suleiman na nguvu kama za menelik
kwa wale wanaobisha zaidi,ni kwamba story za mlima kilimanjaro zilishaandikwa tangu karne ya pili yaani second century kabla hajazaliwa Yesu,ziliandikwa na mwanafalsfa aitwaye PLOTEMY ambaye inaaminika alizijulia kutokana na maandiko ya wamisri haswa pharao Hashesput
hadi leo waethiopia wanaamini ipo siku mrithi wa meneliki atarudi mlima kilimanajro kuufata mwili wake,wengine wanaamini ethiopia itakuja kuitawala tanganyika kuanzia mlima kilimanjaro hadi river rufiji kutimiza lengo la menelik the first ingawa hiyo sijui ikoje maana ufalme wao ulishia kwa Haile sellasie.
>>>>>>NARUDIA TENA,PETE BADO IPO KULE JUU,ENDELEENI NA MACHUKI YENU YANA BOUNCE TU ||||||||||||||
King Menelik I: legendary ascender
According to legend, the first person to ascend Mount Kilimanjaro was King Menelik I, supposedly the son of King Solomon and the Queen of Sheba. He ruled the Axumite Empire in what is now northern Ethiopia in the 10th century BC, and fought battles in present-day Ethiopia, Somalia, Kenya and Tanzania. As an old man, returning with the spoils of war, he camped between the peaks of Kibo and Mawenzi, at a height of 4,500 metres (14,760ft). Feeling that death was drawing near, he told his followers that he wished to die as a king. He, his warlords and slaves, laden with jewels and treasure, climbed to the crater, where he died.
The legend relates that one of Menelik’s offspring will return to the mountain, climb Kibo and find the king and his jewels. Among these will be the Seal of Solomon, a ring which will empower the wearer with the wisdom of Solomon. The legend was so firmly believed by the Abyssinian Christians that when The Revd Dr Reusch (a missionary who spent many years in the Kilimanjaro area, and who later became president of the Mountain Club of East Africa) reached the summit in 1926, many were deeply sceptical that he had reached the top as he found no trace of the long-dead king.