ram
Platinum Member
- Oct 5, 2007
- 9,385
- 8,645
Niliishia Stella point, manake nilishushwa saa kumi na mbili na dk 45 wenzangu wakasummit saa mbili na dk 10 asbh, niliumia kweli kweli. Lakini ilikuwa ni for my health hali ya hewa ilinigomea kabisa kule juu, nikawa natapika sana, nguvu za kutembea zikandon't ikabidi nirudishwa barafu mwanawane....Why my dear...
Uliweza kwenda Summit lakini?
Njia ya Machame ni rahisi sana kwenda Uhuru Peak.