Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Niko addicted na Mlima Kilimanjaro! I love this Mountain...

Ahahahahah.....naiheshimu njia ya machame, barango kwenda kituo cha karanga mweee.........jitahidi urudi tena ufike angalau hadi stela point then next time unatia timu juu kabisa kileleni
Ndugu yangu unanitia hamasa sana shukurani
 
Yeah.... ile ni adventure aisee, kwenye lile jiwe la kubusu ni nouma, ukikosea step kidogo tu tunakusahau, maajabu ni wale porters, wanapita pale utadhani wanapita kwenye upana wa 6 x 6
Wale ma porter hadithi nyingine kabisa wenyewe wanapenda uwaite Wagumu si mchezo jamaa wako fit. Duuu jiwe la kubusu pale unaenda na zote 4 unakwea kama tumbili.
 
Niliishia Stella point, manake nilishushwa saa kumi na mbili na dk 45 wenzangu wakasummit saa mbili na dk 10 asbh, niliumia kweli kweli. Lakini ilikuwa ni for my health hali ya hewa ilinigomea kabisa kule juu, nikawa natapika sana, nguvu za kutembea zikandon't ikabidi nirudishwa barafu mwanawane....
Duuu babu kumbe ulivuta sana Stella si bado kidogo tu!!? Next time unamaliza
 
Afya hainiruhusu ilikuwa plan yangu kama miaka miwili iliyopia kuupanda huu mlima sasa nimechelewa forever
 
Yeah.... ile ni adventure aisee, kwenye lile jiwe la kubusu ni nouma, ukikosea step kidogo tu tunakusahau, maajabu ni wale porters, wanapita pale utadhani wanapita kwenye upana wa 6 x 6
Expect to see you back...
Siulipatiwa cheti chako lakini?
 
Boss, please let's keep in touch.. Nataka nifanye hivyo pia December.. Nitakuwa na some rough months of October and November this year so nataka December nijipumzishe na kitu kizuri. I think kupanda mlima ni the best choice as mwaka jana nilitaka nifanye hivyo na my girl mambo yakawa mengi..

Please let's do it mwaka huu..
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ntajaribu mkuu siku nikienda ukweni naweza kuamua ghafla
It need arrangement mkuu!! sio sehemu ambayo unaweza kwenda tu gafla...
The the Good and Successful Hike...you must get prepared!!!
Mazoezi ya mbio kidogo ndio msaada mkubwa...
 
Back
Top Bottom