Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Kila kitu kimeelezwa tatizo, Unaleta ujuaji, sasa unataka aelezee kuhusu G.AO.TU , hiyo ni mada nyingine, na uzi utakuwa mrefu na kichosha ,

Nimeshakwambia acha ujuaji, mada hizi sio saizi yako, maana hupend papa akihusishwa na freemason, wakati ipo wazi
Shida nnayoiona kwako unapenda sana watu waamin unachoamin, mtu akijarbu kuhoj lazima uwe mkali. Hakukua na sababu ya ww kuwa mkali kwa Eiyer hoja kusupportiwa au hupingwa kwa hoja na si kuitana wajuaji
 
Hadi naandaa nilijua wakurupukaji watashindwa kuelewa hapa, ndugu aliyenisaidia baadhi ya nukuu alizichambua juzi tu,kwahiyo sio kama nimesahau kuedit ndivyo ilivyo.
dah hongera sana kwa kazi nzuri............

ila ninapenda nikukumbushe tu kuwa moja ya amri ya MUNGU inasema kuwa USISEME UONGO.......

UMEDAI KWA MANENO KAMA ETI
"Hadi naandaa"
"ndugu aliyenisaidia baadhi ya nukuu alizichambua juzi tu"

HUO NI UONGO NGUGU YANGU, na SHETANI NDIE BABA WA UONGO

kuliko kujifanya mjuaji ni kwa nini usikiri tu kwamba NIMECOPY NA KUPASTE TOKA KWENYE KITABU CHA "Masonic Secrets Revealed" (Siri za Kimasoni zilizofunuliwa au zilizowekwa wazi)...........

kuliko kujifanya mjuaji ni kwa nini usikiri tu kwamba NIMECOPY NA KUPASTE TOKA KWENYE KITABU CHA kufundishia wanaojiunga kiitwacho "Morals and Dogma" (kitabu cha Maadili na Mapokeo kilichoandikwa na Albert Pike Lusifa mwenye Nuru)...........

au unaogopo kuabika ??????????
hapana usiogope ndo kujifunzas huko...................

ila ningependa kukuuliza kitu kuhusu IZO PICHA ZA BAADHI YA VINGOZI WA DINI (kama poe benedicto, na pope francis) NA BAADHI YA MAMBO YA KIDINI NA MAKANISA ULIZO AMBATANISHA NA KUYAHUSIANISHA NA Morals and Dogma za freemasons
JE NI IZO PICHA NA HAYO MAHUSIANO KAMA MAVAZI VINAONEKANA NA KUELEZWA HUKO ULIKO COPY NA KUPASTE ???????????
AU NI MAWAZO NA FIKRA ZAKO MWENYEWE UMEAMUA KUONGEZEA ??????????

USHAURI

mada yako ni nzuri ila ulichokosea ni UMEONGOZWA NA CHIKI ZAIDI KULIKO UHALISIA WA MAMBO NA JAMBO HUSIKA..........

pole sana.................................
 
napata wapi hizi siri za hawa Freemason?

Yesu aliahidi kwamba “…….

hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala
lililofichwa ambalo halitajulikana. Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri lihubirini juu ya nyumba.” Mathayo 10:26-28
ifike hatua UONEE AIBU HATA NENO LA MUNGU...................

kama wewe binafsi umeshindwa kuona AIBU basi onea AIBU hata NENO LA MUNGU............

Kwanini usikiri tu kwamba NIMECOPY NA KUPASTE TOKA KWENYE KITABU CHA "Masonic Secrets Revealed" (Siri za Kimasoni zilizofunuliwa au zilizowekwa wazi)...........

kwa nini usikiri tu kwamba NIMECOPY NA KUPASTE TOKA KWENYE KITABU CHA kufundishia wanaojiunga kiitwacho "Morals and Dogma" (kitabu cha Maadili na Mapokeo kilichoandikwa na Albert Pike Lusifa mwenye Nuru)...........

ILA NI LAZIMA UKIRI TU KWAMBA UYO MWANDISHI WA ICHO KITABU UMEMUONGEZEA CHUMVI TENA CHUMVI NYINGI TU, KIASI KWAMBA HATA MBOGA YENYEWE HAILIKI TENA

Una akili ndogo ila jiulize vitu vdg vdg hlf ufanye na utafiti sio kuleta udini

Sent using Jamii Forums mobile app

pole sana......................

ahsante nashukuru.........

"kama akili kubwa na ya kiutafiti ni kama ya mleta mada na namna alivo ielezea na kuiwasilisha, basi nakiri akili yangu ni ndogo na finyu kwelkweli................."
NA KINYUME CHAKE NDIO KWELI HALISI.....................
 
Lazima urukeruke maana kanisa la waabudu sanamu limehusika
naona umeshindwa kuthibitisha au kukanusha hayo madai yangu hapo juu,
kuthibitisha au kukanusha tu kote kumekuwa kugumu....................

"kufunika kombe ili mwana haramu apite"
hiyo ni mbinu ya kitoto na ni ya kizamani sana..........

huku ukishindwa kukanusha au kuthibitisha haya maelezo hapa niliokuuliza hapo juu...
IZO PICHA ZA BAADHI YA VINGOZI WA DINI (kama poe benedicto, na pope francis) NA BAADHI YA MAMBO YA KIDINI NA MAKANISA ULIZO AMBATANISHA NA KUYAHUSIANISHA NA Morals and Dogma za freemasons
JE NI IZO PICHA NA HAYO MAHUSIANO KAMA MAVAZI VINAONEKANA NA KUELEZWA HUKO ULIKO COPY NA KUPASTE ???????????
AU NI MAWAZO NA FIKRA ZAKO MWENYEWE UMEAMUA KUONGEZEA ??????????

umekimbilia mbinu ya kitoto Zaidi ya kutaka kuhamisha magoli yaani kutupeleka kwenye sanamu na huku ukisahau kuwa mada umeileta mwenyewe...........

upo deep
hongera sana................
 
4957c3fa1e281d25c1ea17725d8e89af.jpg

Ni shirika ambalo mambo yake ni siri kuu. Mimi nilifanya utafiki kwenye mitandao, nikafatilia historia yao kama inavyoonyeshwa mara kwa mara kwenye makala za historia katika televisheni za magharibi pamoja na kuongea na watu waliofuatilia kwa karibu mambo yao. Kwenye maelezo yao kwa nje Free masons wanajitangaza kama shirika zuri tu.
e15048dba9466e8b77ddc70021e4c4e3.jpg

Naomba niorodheshe mambo machache niliyoambiwa kuhusiana na Freemasonry.


1. Ni kweli Freemasonry kama ilivyo maana yake kwanza ilkuwa ni kundi la mafundi waashi (masons) au wajenzi kuwa lugha nyingine. Walikuwa ni wataalamu waliobobea kwenye masuala ya ujenzi wa mahekalu na mabenki ya zama hizo zinazoitwa kwa kizungu (medieval times).
Niliambiwa walikuwa ni watunzaji wa pesa za kanisa katoliki. Kwani walikuwa wanajenga mahekalu(cathedrals) za wakatoliki na mabenki/ mahandaki ya kuhifadhia pesa pamoja na kuzikia(catacombs).
Niliambiwa wanaweza kujenga hayo maandaki kwa utaalamu mkubwa kiasi kwamba ukiingia ndani ya hayo mahandaki bila ramani unaweza ukashindwa kutoka hata unaweza kupotelea humo humo ndani usiweze kutoka tena. Hicho ndicho kilichokuwa ni kiwango cha utaalamu wao.



2. Kwa kuwa walikuwa ni waashi ndiyo maana alama zao ni vifaa vya ujenzi, Pima maji n.k



3. Inasemekana mji mkuu wa marekani (Washington DC) ulisanifiwa na kujengwa na Freemasons. Na inasemekana ni mji makini ambao umejengwa ukizingatia pembe tatu zenye nyuzi zinazowakilisha u freemason.



4. Ikatokea kipindi ambapo hawa freemasons wakaasi kwa kuanza kujishirikisha na mambo ya nguvu za giza. Wengine wanasema walianza kuiba pesa za kanisa katoliki, lakini ukweli halisi haujulikani. Kutokana na sababu hizi na zinginezo ambazo ni siri kati ya kanisa katoliki na freemasons, Freemasons wakafukuzwa kutoka ukatoliki.
Ndio maana hakuna maelewano kati ya freemasons na wakatoliki. Wakatoliki wakaanzisha shirika jingine badala ya hao freemasons lijulikanalo kama Jesuits.
Jesuit Fathers ni mapadri wa katoliki wa daraja la juu sana wenye elimu ya juu zaidi ambao hufanya kazi za siri za utawala na udhibiti ndani ya kanisa katoliki.


5. Kuhusu imani yao (freemasons) nikaelezwa kwa kifupi kuwa wanaamini Yesu na Lucifer ni mtu na ndugu yake. wanaamini kuwa Lucifer ndiye mwema na mzuri lakini wanaamini kuwa Yesu ndiye mwenye mabaya. alimfanyia hila Lucifer aonekane mbaya.


6. Kinachoendelea ndani yake kuhusiana na ibada zake ni siri kwani kuna daraja ambazo muumini wa freemason anapanda kutokana na kubobea katika imani ikiwa ni pamoja na kutunza siri zao. Ninajua kuwa daraja ya juu kabisa ni nyuzi ya 33 (33rd degree)



7. Ni watu wenye nguvu mno na mambo yao ni makubwa mno na siri zao ni nzito mno. Ndiyo maana haziko wazi.
Wafuasi wa kiwango cha chini wala hawajui shirika hili linahusika na nini manake hata wao hawaambiwi kitu. Kwa wafuasi wa daraja ya chini wanakwenda ku socialize tu. Yaani kwa wasio jua kitu kule kwenye lodge zao ni kama ywca au wmca au club hivi. Kwenye nchi kama marekani watu wasio jua siri wanachukulia kama sehemu za kusocialize tu.


8. Freemasonry inawekwa pamoja na makundi mengine makubwa ya siri, yanayoendesha ulimwengu mzima kwa nguvu za kiuchumi, siasa na mambo ya utawala
 
Back
Top Bottom