Niijuavyo Freemasonry

Ok! hamis77 a.k.a Bintiwhite a.k.a Jerrymsigwa

We jamaa mbona mbishi sana kaka? Mimj siwajui hao unaniunga nao, ishu ya ukatoliki na upagani iko wazi tu kwa kila
Mwenye akili, rejea post yangu ya papa alichofanya kwa waLutheri mwaka jana. Kaomba radhi kwa maudhi na mauaji ya waprotestant.

Freemasons+rc (kahaba) = chukizo la uharibifu
 
Ok
 
So what ?
 
kwa kweli hizi habari za masonic ma iluminat hakua ambae anaweza kuelezea uhalisia wake, zipo mada nyingi sn zinazo wahusu na nyingi ni upotoshaji na chache ni uhalisia, lakini ukweli frimasoni si chochote si lolote katika vyama ya siri.
Jiulize kama ni chama kwanini iwe siri, kwanini ?? Na sikuizi kila mahali mabango yamejaa kwa wanaotaka kujiunga , halafu kuna li mtu linakuja kujifanya lina elimu ambayo wengine hawana kwamba lenyewe janja saaaannaaa hivyo mfuate upumbavu wake.
 
Wanatafutwa waumini wapya kwenye kikanisa chao kime pwaya hakuna wakristu wamekishitukia hawaendi. Sasa kutwa wapo mtandaoni wanatukana makanisa makubw ili wao wainekane wakweli. Wanafiki watupu.
Mtu mmoja ana ID tano anatoa mada anaanza kuchangia.
 
Jerrymsigwa
AROON
hamis77
@bintwhite
Hii ni ID moja

Hawa ndiyo wale mwaka fulani walikwenda airport wakitaka kusafiri eti Mungu kawatuma wakahubiri kwa mataifa, hawana visa, wala tickets, wakakaa airport wasijue wanaenda wapi, eti leo ndiyo wana jifanya wahubiri kutwa wakitukana makanisa mengine, watambueni hawa.
 
We jamaa mbona mbishi sana kaka? Mimj siwajui hao unaniunga nao, ishu ya ukatoliki na upagani iko wazi tu kwa kila
Mwenye akili, rejea post yangu ya papa alichofanya kwa waLutheri mwaka jana. Kaomba radhi kwa maudhi na mauaji ya waprotestant.

Freemasons+rc (kahaba) = chukizo la uharibifu
Achana nae mkuu ,muache ahangaike na personality, mada zishamshinda
 
Jerrymsigwa
AROON
hamis77
@bintwhite
Hii ni ID moja

Hawa ndiyo wale mwaka fulani walikwenda airport wakitaka kusafiri eti Mungu kawatuma wakahubiri kwa mataifa, hawana visa, wala tickets, wakakaa airport wasijue wanaenda wapi, eti leo ndiyo wana jifanya wahubiri kutwa wakitukana makanisa mengine, watambueni hawa.

Umeshikiwa akili na Otorong'ong'o?

Mm ni mtu mwingine kbs simjui huyo Aaron na wengine, mbona hamsikii nyie waumini wa kahaba wa Ufunuo?
 
Jerrymsigwa
AROON
hamis77
@bintwhite
Hii ni ID moja

Hawa ndiyo wale mwaka fulani walikwenda airport wakitaka kusafiri eti Mungu kawatuma wakahubiri kwa mataifa, hawana visa, wala tickets, wakakaa airport wasijue wanaenda wapi, eti leo ndiyo wana jifanya wahubiri kutwa wakitukana makanisa mengine, watambueni hawa.
Hahaaa hhaaaa mnapoteza muda bure, mm hao siwajui, naona mada zinawaelemea
 
Back
Top Bottom