Niijuavyo Freemasonry

Niijuavyo Freemasonry

Halafu katumia tactic ya post ya mjf mmoja anaitwa ..."Kazi na sala...kutaka kupotosha
Ukweli utajichambua siku zote...haya utuletee na sehemu ya tatu

germve himself
 
Yaani hawa watu Wa haka kadhehebu wengi IQ yao na uwezo wa kufikiria ni mdogo sana...yaani bora muwe mnabadilishana mawazo na mpagani sio ukutane na hawa

germve himself
 
Hadi naandaa nilijua wakurupukaji watashindwa kuelewa hapa, ndugu aliyenisaidia baadhi ya nukuu alizichambua juzi tu,kwahiyo sio kama nimesahau kuedit ndivyo ilivyo.
article yote ni crap
 
Gama kasome post ya Kazi na sala uone utofauti...siongelei bias ila uone uwasilishaji halafu ujue kwanini mpaka watu wanasema hiki kitu ni crap

germve himself
 
Back
Top Bottom