HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,328
- 1,666
Ndugu mtoa mada ni wachache watakaokuelewa humu.Lakini hivyo ndivyo hasa halisi ilivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko unakokopi umesahau ku edit hapa....Ifikapo mwaka 2011 itakuwa imepita miaka 66 tangu kumalizika kwa vita kuu
ya pili. Mpangilio wa namba 6, 66, na 666 huwa na nguvu zaidi kwa freemason na ni kutokana na miaka 66 kupita tangu vita ya pili illuminati wamepanga kuanzisha vita ya tatu ya dunia.
SHOGAZANGUNI NAOMBA NIWAULIZE KITU. KUNA SIKU NILISHUHUDIA KITU AMBACHO NILIKIONA CHA AJABU NA SIKUKIELEWA.... KUNA MTU HUMU NDANI ALITOA UZI AKAIELEZEA PERFUME YA DIAMOND ILIVYOTENGENEZWA KIFREEMASON, ALIELEZEA KIUNDANI SANAAA. LAKINI CHA AJABU HIYO POST HAIKUKAA DK 5 ILIFUTWA, NA HUYO MTU AKAPEWA BURN
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha upuuzi wako wewe, nina Id moja tu,Jerrymsigwa
AROON
hamis77
@bintwhite
Hii ni ID moja...Nashindwa kuelewa Moderator, Invisible wanashindwa nini kuziunganisha..
Elewa anachosema hapo hamaanishi ulivyofikiri wewe, anazungumzia toka hicho kipind kwa miaka 66 inafikia 2011, muwe mnasoma na kuelewa,Huko unakokopi umesahau ku edit hapa....
Tupo 2017,wewe unasema "ifikapo 2011",tunarudi nyuma au tunasonga mbele?
Kwa hiyo umeambiwa na Yesu!napata wapi hizi siri za hawa Freemason?
Yesu aliahidi kwamba “…….
hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala
lililofichwa ambalo halitajulikana. Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri lihubirini juu ya nyumba.” Mathayo 10:26-28
na sasa siri zilizopangwa na Illuminati zinafichuka na si muda mrefu ulimwengu utashuhudia vita kuu ya 3 na ya mwisho ya dunia itakayotumiwa kama sababu ya kuundwa kwa serikali na dini moja ya dunia.
Hadi naandaa nilijua wakurupukaji watashindwa kuelewa hapa, ndugu aliyenisaidia baadhi ya nukuu alizichambua juzi tu,kwahiyo sio kama nimesahau kuedit ndivyo ilivyo.Huko unakokopi umesahau ku edit hapa....
Tupo 2017,wewe unasema "ifikapo 2011",tunarudi nyuma au tunasonga mbele?
Ntarudi hapaBaada ya sehemu ya 1, tuendelee
Ni njozi gani aliyoipata Pike mwaka 1870?
Pike alivuviwa kwamba lazima kuwepo na vita kuu 3 za dunia na zilipangiliwa kwa kutumia namba na hesabu za Illuminati na freemason.
Ilipofika mwaka 1914, miaka 44 kupita tangu njozi ya Pike, ndipo vita ya kwanza ya dunia ikaanza kama ilivyopangwa kwa namba za Illuminati na freemason.
Hapo kuna hesabu za illuminati zilizotumika kupanga vita hizi tatu.
Njozi ilikuwa Januari
22, namba 22 = 11 x 2.
Kisha ilipita miaka 44 = 11 x 4, ndipo vita ya kwanza ikaanza.
Lakini pia vita kuu ya pili ilianza mwaka 1939 ikiwa ni miaka 69 = 3 x 23 kupita tangu njozi ya Pike mwaka 1870, hata hivyo namba 6 na 9 zote huabudiwa na Illuminati.
Lakini pia ilikuwa imepita miaka 21 = 3 x 7 tangu kumalizika kwa vita kuu ya kwanza na kuanza vita kuu ya pili. Namba zilizotumika kuandaa vita kuu mbili za dunia ni namba 3,
6, 9 na 11.
Ifikapo mwaka 2011 itakuwa imepita miaka 66 tangu kumalizika kwa vita kuu
ya pili. Mpangilio wa namba 6, 66, na 666 huwa na nguvu zaidi kwa freemason na ni kutokana na miaka 66 kupita tangu vita ya pili illuminati wamepanga kuanzisha vita ya tatu ya dunia.
Panapo maajaliwa Tutaona kwenye mada mbeleni.
Pike alifariki manamo Aprili 2, 1892 huko Washington DC. Tutakuja kuchunguza njozi
ya Pike na mpango wa vita kuu tatu (3) za dunia zilivyopangwa kwa namba na hesabu za
Illuminati.,katika mada zangu huko mbeleni.....
Kuna watu wananiuliza napata wapi hizi siri za hawa Freemason?
Yesu aliahidi kwamba “…….
hakuna neno lililositirika, ambalo halitafunuliwa; wala
lililofichwa ambalo halitajulikana. Niwaambialo ninyi katika giza, lisemeni katika nuru; na msikialo kwa siri lihubirini juu ya nyumba.” Mathayo 10:26-28
na sasa siri zilizopangwa na Illuminati zinafichuka na si muda mrefu ulimwengu utashuhudia vita kuu ya 3 na ya mwisho ya dunia itakayotumiwa kama sababu ya kuundwa kwa serikali na dini moja ya dunia.
![]()
![]()
![]()
Unajua nini kilitokea mara baada ya vita kuu ya kwanza na ya pili za dunia?
Je, vita kuu ya tatu itaanza lini? itakuwaje?
Umejiandaaje na vita hiyo?
Malengo ya New World Order hatimaye yatakamilika lini? Kumbuka kuwa vita ya kwanza na ya pili za dunia zilipangwa kwa makusudi yenye malengo ya kutekeleza mipango ya
Illuminati na hawawezi kutumia namba 2 maana hiyo siyo namba yao hivyo lazima
waanzishe tena vita kuu ya 3 ya dunia ndipo wafanikiwe kuanzisha serikali na dini moja.
Hilo tutaliona mbeleni.
Kwanza kabisa nini maana ya Freemason? Katika dictionary au kamusi wanasema kwamba Freemason is a member of a certain secret society. Yaani Freemason ni mwanachama wa chama cha siri au jamii ya siri. Hata hivyo neno Freemason linatokana na maneno mawili, Free na Mason. Maana ya Free ni huru na maana ya Mason ni mtu mjenzi wa majengo katika fani ya uwashi.
Tunajua kuna wajenzi wanaoitwa kapenta, ila Masons ni wajenzi uwashi. Kwa mafundi ujenzi wa uwashi wanafahamu kwamba wakati wanajenga hasa kwa kutumia matofali, kila mstari wanaoujenga huitwa kozi, kwa Kingereza course. Hivyo pia Freemason wanapojenga wanajenga kwa kozi wanazoziita degree.
Je, Freemason wanatumia nini kwenye ujenzi wao? kama tulivyoona kwenye SEHEMU YA 1 wanajenga kwa kutumia mawe, ambayo ni watu wasiojua kama wanatumiwa kujenga.
JE Freemason wanajenga nini? Wanajenga ulimwengu mzima wa dini, siasa, uchumi na kazi/kilimo/ajira.
![]()
Katika kitabu cha Ufunuo 7:1 Biblia inataja ‘pepo nne za dunia’ ambazo zinazuiliwa na malaika wanne ili kazi ya kuwapiga muhuri watu wa Mungu ikamilike. Pepo nne za dunia huwakilisha
1)machafuko ya kidini,
2)machafuko ya kisiasa na utawala,
3) machafuko ya uchumi na biashara na
4)machafuko ya wafanyakazi na wakulima.
Tutaona kwamba freemason nao wamejigawa
katika makundi manne ili kuhakikisha wanafanikisha mpango mpya wa dunia
ulioanzishwa na Weishaupt mwaka 1776 na hivyo kumaanisha pepo nne za dunia kama zilivyoelezewa na Mungu kwenye kitabu cha Ufunuo 7:1.
Tumeona kwamba
Illuminati/freemason wameungana na mnyama wa namba 666(PAPACY SYSTEM) na hili linathibitishwa na
Padre wa kanisa Katoliki Martin Malachi kwa kusema kwamba
“He is protected by four
governments” “people of the world seem to him ready for strong worldwide moral
government with control.” (The keys of this Blood pp. 120, 160),
akimaanisha kwamba
Papa na Vatican inalindwa na serikali nne na hatimaye ulimwengu wote utatawaliwa na
Vatican.
Je, serikali hizo nne ni zipi?
Ni makundi manne ya freemason.
Kuna degree 33 za Freemason. Mtu anapoanza katika hatua ya kwanza atatakiwa kusoma degree ya kwanza inayoitwa Entered Apprentice degree;
kisha atapanda na kufika
Degree ya pili inayoitwa Fellow Craft Degree na
Degree ya tatu inaitwa The Master Mason degree hadi kufikia degree ya 33 ambayo ndiyo ya juu kabisa.
Pia lazima uzitambue taratibu za kujiunga na Jesuits ni pamoja na viapo vikali, hapa pia tunaona kwamba unapoingia katika Freemason utatakiwa kuapa katika kila ngazi unayopanda, hapa nitaweka viapo katika kila ngazi tatu za awali, nitaweka katika lugha ya Kingereza bila kutoa tafsiri ya moja kwa moja, nitaelezea kwa ujumla wake maana ya viapo hivyo; kama hujui lugha ya Kingereza, tafadhali naomba umhusishe aliye karibu nawe ili akufafanulie;
kabla ya kuapa, atasomewa maneno yafuatayo:
“Mr. _______, before you can proceed further in Freemasonry, it will be necessary for
you to take an Obligation appertaining to this degree. It becomes my duty as well as
pleasure to inform you that there is nothing contained in the Obligation that conflicts
with the duties you owe to God, your country, your neighbor, your family, or yourself.
With this assurance on my part, are you willing to take the Obligation?” (Nevada ritual,
circa 1984)
Maneno hayo yanamaanisha kwamba unapoingia Feemason utaendelea kuwa na mahusiano na Mungu wako, na nchi yako, na jirani zako, na familia yako kama kawaida.
Lakini Freemason wanamwabudu mungu yupi? Wao wanamwabudu mungu
anayeitwa GAOTU – Great Architect Of The Universe – yaani ‘Mbunifu mkuu wa
ulimwengu.’ Freemason hawamwabudu Mungu wa Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
![]()
Sala zao zote huelekezwa kwa GAOTU. Architect ni mtu anayebuni ramani za majengo,
majengo unayoyaona katika nchi mbalimbali yakiwemo yale yaliyomo ndani ya miji ya
nchi yetu, yanatokana na ubunifu wa watu wanaoitwa Architects. Ni watu wenye elimu
kubwa sana kuhusu mambo ya ubunifu na ujenzi wa majengo. Freemason nao ni wajenzi wa maadili wanayoyataka wao na pia wanaye Architect (mbunifu) wao mkuu ambaye ndiye wanayemwabudu, jina la Architect wao ni GAOTU. Huyo ndiye mbunifu mkuu wa shughuli za Freemason katika ujenzi wa ulimwengu, wengine ni watekelezaji tu.
Wapo watu pia wanaoelekeza sala zao kwa viumbe badala ya kuelekeza kwa Muumbaji.
![]()
![]()
Wao pia hawatofautiani na Freemason maana wote wanakwenda kinyume
na Mungu, na ukweli ni kwamba wanafanya hivyo kutokana na ubunifu wa GAOTU
maana kazi yake ni kubuni mbinu mbalimbali za kuwafanya watu wawe mbali na Mungu.
Yesu anasema kwamba tunapotaka kusali tusali hivi, “Baba yetu uliye mbinguni……” Mathayo 6:9-13, ikimaanisha kwamba sala zetu zote tuzielekeze kwa Mungu aliye mbinguni tena kwa Jina la Yesu.
GAOTU anajua kwamba Mungu alisema,
“mtu akijikwaa katika neno moja, amekosa juu ya yote” Yakobo 2:10,
ndio maana anajitahidi kuwafanya watu wamkosee Mungu hata katika kitu kidogo, na watakuwa wamemkosea juu ya yote.
Hivyo unaweza ukawa mlokole, msabato, mkatoliki, muislamu, mbudha, myahudi nk. lakini ukimkosea Mungu katika jambo moja tu umemkosea juu ya yote.
Ndio maana leo hii katika dunia nzima kuna utitiri wa madhehebu na dini za kila aina.
Wataalamu wanasema kuna dini zaidi ya elfu tatu!
Je, wote watakwenda Paradiso?
Biblia inasema, “Je! Hamjui ya kuwa wale washindanao
kwa kupiga mbio, hupiga mbio wote, lakini apokeaye tuzo ni mmoja?” 1 Wakorintho9:24.
Hivyo pamoja na kuwa na dini nyingi kiasi hicho na dini zote zikiwa zinadai kupiga mbio ili kupata tuzo ya uzima wa milele, ni wale tu wanaotii kila moja ya amri za Mungu ndio wanaopiga mbio vizuri na ndio watakaopata tuzo, nao watatoka katika
dhehebu moja tu.
Kwa nini watu huingia Freemason?
Ni kwa sababu ya kutaka utajiri wa dunia hii.
Wakati shetani anamjaribu Yesu, alimwonyesha utajiri,
“Kisha ibilisi akamchukua
mpaka mlima mrefu mno, akamwonyesha milki zote za ulimwengu, na fahari yake,
akamwambia, Haya yote nitakupa, ukianguka kunisujudia.” Mathayo 4:8, 9.
Baada ya ibilisi kushindwa kumnasa Yesu, sasa aliendelea kutumia njia hiyo hiyo kwa kumtumia mnyama ili awape watu utajiri kupitia Freemason,
tunasoma kwamba,
“Lakini katika mahali pake atamheshimu mungu wa ngome; na mungu ambaye baba zake hawakumjua atamheshimu, kwa dhahabu na fedha, na vito vya thamani na vitu vipendezavyo…..na
yeye atakayemkubali atamwongeza kwa utukufu; naye atawapa kumiliki wengi; naye ataigawa nchi kwa rushwa.” Danieli 11:38,39.
Ndio maana watu wengi wanaingia kwenye vyama vya siri kama Freemason na kila anayeingia humo hufanywa apate kumiliki vitu vingi na kuwa tajiri mkubwa, tena hao ndio chanzo cha rushwa nchini na
hata kusababisha ufisadi wa hali ya juu katika nchi mbali mbali.
Unapokubaliana na swali katika maneno ya awali hapo juu, utatakiwa kuapa kwa
kuzingatia ngazi unayotaka kupanda katika Freemason.
Viapo hivyo ni kama ifuatavyo:
Entered Apprentice Degree: “….my throat cut across, my tongue torn out, and with my
body buried in the sands of the sea at low-water mark, where the tide ebbs and flows
twice in twenty-four hours, should I ever knowingly or willfully violate this, my solemn
Obligation of an Entered Apprentice.”
Fellow Craft Degree: “….my left breast torn open, my heart and vitals taken thence,
and with my body given as a prey to the vultures of the air, should I ever knowingly, or
willfully, violate this, my solemn Obligation of a Fellow Craft.”;
Master Mason Degree: “….my body severed in twain, my bowels taken thence, and with
my body burned to ashes, and the ashes thereof scattered to the four winds of Heaven,
that there might remain neither track, trace nor remembrance among man or Masons of
so vile and perjured a wretch as I should be, should I ever knowingly or willfully
violate this, my solemn Obligation of a Master Mason.” (Nevada ritual, circa 1984)
Viapo hivyo nimevifupisha ili kuonyesha nini kitakachotokea endapo mtu ataamua
kuwasaliti Freemason kama amejiunga nao. Mwanachama anapokiuka viapo hivyo
hupotea kimuujiza.
Wapo wanaoamini kwamba mtu anapokuwa freemason hawezi
kutoka kwenye chama hicho, wanasema
“Once a mason always a mason”
lakini hilo si kweli maana wapo wengi walioingia kwenye vyama vya siri bila kujua kwa undani
kuhusu vyama hivyo ikiwa ni pamoja na freemason na walipofahamu kwa undani
walitoka, watu hao wamekuwa msaada mkubwa kutoa siri za vyama hivyo. Katika miaka ya 1800 kapteni William Morgan aliachana na chama hicho cha Freemason na alikuwa amejiandaa kutoa siri zao ndipo akakamatwa huko Niagra,New York Marekani na kuuawa, mwili wake haukuonekana hadi hivi leo.
Lakini wengi wametoka
na hadi leo wapo wakiendelea kutoa siri za vyama hivyo.
Ndugu mwana JF na msomaji kama unaweza kuchunguza zaidi utagundua kuwa kuna viapo ambavyo watumishi wa
madhehebu kadhaa hutakiwa kuvifanya wanapoingia katika utumishi wao. Freemason
huapa kwamba watamtii GAOTU lakini pia hata watumishi wa madhehebu kadhaa huapa kutoa utii wao sio kwa Mungu bali kwa kiongozi mkuu wa kanisa husika na kwa
kanisa lenyewe. Tafadhali chunguza katika dhehebu lako pengine ni wachungaji,
maaskofu, mitume na manabii wa siku hizi au makasisi, nk.
Hata hivyo madhehebu hayo kwa kuwaapisha wachungaji, maaskofu au makasisi, na
hata waumini wao wanaonyesha kuwa wametekwa na Freemason kutokana na ubunifu wa GAOTU kwa sababu Biblia inasema kwamba:
“Tena mmesikia watu wa kale walivyoambiwa, Usiape uongo, ila mtimizie Bwana nyapo zako; lakini mimi nawaambia, Usiape kabisa; hata kwa mbingu, kwa maana ndicho kiti cha enzi cha Mungu; wala kwa nchi, kwa maana ndiyo pa kuweka miguu
yake…wala usiape kwa kichwa chako, maana huwezi kufanya unywele mmoja kuwa
mweupe au mweusi…..kwa kuwa yazidiyo hayo yatoka kwa yule mwovu.”
Mathayo 5:33-37.
“Lakini zaidi ya yote, ndugu zangu,msiape….msije mkaangukia hukumu.”
Yakobo 5:12.
Je, viapo vya watumishi wa makanisa na waumini wao vinatoka wapi kama sio kwa
Freemason ambao nao huapa pia?
![]()
Tena vinatoka kwa GAOTU – mbunifu mkuu wa ujenzi wa maadili yaliyo kinyume na Mungu.
![]()
Mbona Biblia iko wazi kuhusu kuapa maana Mungu amekataza kuapa na hasa kwenye mambo ya dini
KARIBU KWA MJADALA
ITAENDELEA....
NB: MIHEMKO YA KIDINI HAIHITAJIKI
Umetumia kipimo gani kujua ana akili ndogo? Ama umeambiwa na Yesu sirini kwa hiyo na wewe unalisema hadharani ndugu?Una akili ndogo ila jiulize vitu vdg vdg hlf ufanye na utafiti sio kuleta udini
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ulete na historia ya hao Freemasons ili kujua wamekuwepo tangu lini na kisha ulete na historia ya dhehebu lako ili tujifunze na kujua jinsi vinavyohusiana ama kutofautiana mpendwa.Umeongea ukweli kabisa , yaani freemason wameshaingia makanisani na wanaabudiwa bila wasiwasi
Asante sana kwa mchango wako
Mkuu nimeshangaa tu kwasababu nimeshangaa kweli kweli kwenye mada hii....
Nilitaka kuandika mambokadhaa lakini nimeamua kuacha maana naona kama utakuwa ni mvurugano tu...
Nimeamua nimuache mkuu na mada yake na nitasoma tu....