The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
wala usihangaike na nguo za kubana maana zina madhara yake, ukibana misuli ya mwili unaweza jiletea madhara, dawa yake ni kuvaa nguo kubwa kubwa tu kama madira, hapo utakuwa ushapata suruhu. Napenda sana mwanamke aina yako kusema ukweli.
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
ameruka hii naona lol
Aisee mavi yko yanapata raha balaa.
I wsh dushelele yangu ingekua kimba lako nihisi msuguano.
umewahi pata tatizo hili?
Nyumba kubwa ni muoga kiaina!!
Si muoga; sikuwa hewani....
The Boss namjua yuko kwenye ka research.....
Anataka kumjua kila mtu jinsi alivyo; akipata chance basi lazima achomekee swali la muonekano...:lock1:
Wakati yeye anafanya research mie namsaidia ku observe (research assistant)....hivo hapati jibu hapa....teh teh teh
Weka VIDEO 2one ni makubwa kiasi gani na yanatingishika kwa uelekeo gani(problem recconainsance) ndo 2kushauri appropriately gilesi
Hahahahahaha jf nouma kweli , sasa kama unajua dawa si umuelekeze hapa hapa ili na wengine wapate faida lol.Kama upo dar ni pm kuna dawa za jadi nitakusaidia bure
Mpe jibu tu asipate presha, najua kalala sasa hivi.
Kwani wewe uliwezaje kudhibiti mtikisiko kama wa Gilesi?
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
Hahahahahahahahahahaha unajua nimecheka huyo uliyemkoti duh watu wadadisi jamani hahahahahahahahahahha aaaaah hapana jamani kama utaingia jf na usiondoe stress zako basi tena sijui utasaidiwaje tu.eeh; sikujua kumbe research assistants wa The Boss tuko wengi? Naona na wewe unamsaidia kuuliza maswali....