Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

Status
Not open for further replies.
watu wanahangaika,watu wana haha kutafuta mtipwiriko mpaka wanaenda kwa wachina!we unaotaabu!aliyekuumba hajakosea bidada
 
Nenda hospitali wakuwekee piopi/hogo labda yatashikana
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
 
When a periodically varying force is applied
on an object, the object vibrates in
accordance to the frequency of applied
force. The frequency of vibration of the
object is the same as the frequency of the
applied force.
This is called forced vibration.
When the force is removed, the object will
not vibrate with this frequency, but it will
vibrate with a frequency peculiar to the
object called natural frequency, every object
has its own natural frequency.
Thus to make a body to vibrate with its
natural frequency, we apply some varying
force and remove that force. On removing
the force the object will vibrate with its
natural frequency. Ofcourse due to damping
eventually the vibration will cease after
certain time.
Suppose that the frequency of the applied
force coincides with the natural frequency,
in other words if the frequency of the
forced vibration coincides with the natural
frequency of the object, the amplitude of
vibration is the maximum and this called
resonance. Hapa damping ndio mpango mzima.
 
Asante Sana kwa ushauri, nitaenda soon. ILA nimesikitishwa na baadhi ya wachangiaji, engine wamediriki kuweka hadi picha za ngono. Very poor thinking capacity

Kuna watu wanamatatizo ya ubongo ni kuwaacha tu wanawaza ngono sana. Achana nae msamehe tu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.
mwarubaini wa tatizo lako ni hii njia......sasa kujiamini kama awali
111.jpg
 
huyu Bongo movie sijui ameamkaje kila thread kaweka hizo pics sio kwenye thread yako tu, hope ameshashughulikiwa
Asante Sana kwa ushauri, nitaenda soon. ILA nimesikitishwa na baadhi ya wachangiaji, engine wamediriki kuweka hadi picha za ngono. Very poor thinking capacity
 
Last edited by a moderator:
thread nyingine zinaleta raha kuzisomaaaa...mi sina ushauri wowote hapa, niruhusu tu ntengeneze picha yako akilini. Hahahaha
 
Asante Sana kwa ushauri, nitaenda soon. ILA nimesikitishwa na baadhi ya wachangiaji, engine wamediriki kuweka hadi picha za ngono. Very poor thinking capacity
Huyo ni mbulula mmoja anaitwa bongo movie ila nadhani ameshapewa zawadi yake maana sijaziona tena
 
mchatts hivi vitu unavijua/unaviskia? Atavaa nguo gan ktk hali hyo? Labda mbao au chuma.
 
Last edited by a moderator:
Nina mwili WA kawaida kabisa, ILA huko nyuma Nina mzigo mzito, laini, kiasi kwamba unatingishika Sana nitembeapo. Naona aibu kwani nashangiliwa na kupigiwa miluzi.
Nimejaribu kuvaa skin tight zaidi ya tatu kwa pamoja ili kukaza nyama zisitingishike lakini haisaidii.
Nimejaribu aina mbalimbali za mazoezi lakini bado tatizo liko palepale.
Nisaidieni means JF mwenzenu.

Tingisha babe.......! So long as hufanyi makusudi na your conscious is clean, shake it babe.......! ---- la wastani la kutingishika is the most delightful this my eyes always enjoy watching.....!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom