jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
Wazo la mganga nishafuta mkuu
well noted
Wazo la mganga nishafuta mkuu
Mkuuu akienda kwa waganga itamgharimu......
well noted
Mkuu pitia comments zangu utaona nshatoa wazo la kwenda kwaganga
Ahaaa ahaa....
Kama huyu ameyachukulia ndio oksijen yake. Hawezi ishi bila mpenzi wake.
Na anampenda kuliko chochote chini ya jua. Na kamwe hawez kuachana nae.
Tena kiapo cha damu kabisa.... hapa kwenye kiapo mshana jr angetusaidia taratibu za kutengua kiapo hiki
Vijana wana mambo mweeh...
Pole sana, katk mapenzi cku zote anaependa ndio huumia, lazm ukubal kuumia, inauma sana pale thaman ya upendo haithaminiw na m2 unaempenda, hata mm nna tatz kama hilo, nakushaur fanya kama vle kumpotezea tu, usimpgie wala ku2ma sms, futa na namba yake i hope utamsahau na utakuwa normal tu, waschana wazur wapo wengi tu, kuwa busy na masomo na muombe mungu utampata atakaekuthamini.
Niliapa kumpenda daima tena nikaramba na damu yake
Ujinga kama huu upon mpk chuo kikuu tz tu kaz kweli kweli
nina wasiwasi nae kama ni mwanafunzi wa chuo kikuu hata form four hata kuwa hajamaliza bado
Ndo ajiangalie tu asianguke, kuendelea tu kuumia pasipo sababu ya msingi hapana . Maana kuna watu mapenzi yanawaharibiaga maisha totally
Msingenimiss wakati huu mngekuwa hoi bin taaban hospitali, pona yenu ni kunimiss tu.
Msingenimiss wakati huu mngekuwa hoi bin taaban hospitali, pona yenu ni kunimiss tu.
usipotee sana
unatakiwa ujue kwamba hata siku moja usitake mpenzi uko naye darasa ama course moja, lazma akudharau tuu.. ACHA UPUMBAVU WA KISHIRIKINA Tafuta kwingine, Jinga kapsaaa!Nimejitahid sana kaka ila kitendo cha kumuona darasan kinanifanya nishindwe kumtoa akilin
mkuu we acha tu yaanhakuna ambaye hajui chungu ya kupenda humu!