Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

Nifanyeje ili niondokane na maumivu haya?

Kuongea tunaongea nao sana tu, tatizo ni kukubaliana na unachomwambia. Vijana wa dot.com ni shida balaaa, na hizi smartphone zao ndo kabisaaa, wana kazi ya kutumiana viungo vya uzazi tu!!
Hahaha eti kutumiana viungo vya uzazi tu. Ila tusichoke kuongea nao maana ni wa kwetu na elimu ni hazina isipowafaa leo itawafaa kesho, afu ukimsusa unamsusia nani? But I wish kweli wangekuwa wanayasikia tunayowaambia. Kuna njia/ changamoto wasingezipitia kabisa; lakini yote ni kheri coz kuna muda inabidi tu ujifunze kupitia makosa yako
 
Naomba niahid kuleta mrejesho chanya kama nimeondoa wazo la kwa mganga na haya yatatoka kwa msaada wenu.
 
Habari wana jamvi Mimi ni kijana wa miaka ishirin na mbili pia ni mwanachuo.Nimeleta uzi huu jamvin kwa lengo la kupata msaada utakao nisaidia kuondokana na maumivu haya.

Kuna bint mmoja nipo naye kwenye mahusiano ninampenda sana naweza kusema nampenda kuliko mtu yeyote chin ya jua hilina hata yeye unalitambua hilo,,,shida iliyopo ni kuwa c msikivu na ananichukulia poa sana licha ya kuwa unafanya meng kwa ajili yake lakn mwenzangu haonesh kujal hata kidogo anajimlia mambo yake mwenyewe bila hata kunishirikisha kama mme wake mtarijiwa

Kutokana na hal hiyo wakat mwngne nashindwa hata kusoma,kula na kufanya vitu vngine pia.Ninachokifikiria ni kwenda kwa mganga kumtafutia dawa kwa sababu siwez kumuacha na sitak kumuacha.Ila naomba mawazo yenu pia ili nijue ni kpi napaswa kufanya.

Natanguliza shukrani

Hapo ndipo unatengeza sumu ya kujimaliza,mindset yako imeshakuwa kuntu, andaa kujizika,

Hata mama yako pia unamlinganisha na huyo mpita njia
 
Habari wana jamvi Mimi ni kijana wa miaka ishirin na mbili pia ni mwanachuo.Nimeleta uzi huu jamvin kwa lengo la kupata msaada utakao nisaidia kuondokana na maumivu haya.

Kuna bint mmoja nipo naye kwenye mahusiano ninampenda sana naweza kusema nampenda kuliko mtu yeyote chin ya jua hili na hata yeye unalitambua hilo,,,shida iliyopo ni kuwa c msikivu na ananichukulia poa sana licha ya kuwa unafanya meng kwa ajili yake lakn mwenzangu haonesh kujal hata kidogo anajimlia mambo yake mwenyewe bila hata kunishirikisha kama mme wake mtarijiwa

Kutokana na hal hiyo wakat mwngne nashindwa hata kusoma,kula na kufanya vitu vngine pia.Ninachokifikiria ni kwenda kwa mganga kumtafutia dawa kwa sababu siwez kumuacha na sitak kumuacha.Ila naomba mawazo yenu pia ili nijue ni kpi napaswa kufanya.

Natanguliza shukrani

Kosa kubwa unalofanya ni kumwambia na kumpenda kuliko kitu chochote kile.

Hapo inamfanya binti ajione jeuri na hamna kama yeye, maringo na kila dharau. Hii inatokea kwa mabint wasiothamini upendo.

Kijana mabinti wa siku hizi sio wakupenda kivile, mpende moyoni saana na kwa matendo but sio kukaa kumtamkia mara nakupenda kuliko chochote, mara wewe ndo kila kitu atakusumbua paka mwisho.

Kaa nae chini mueleze abadilike, tena mwambie utashindwa kumvumilia akiendelea na hiyo tabia

Penda kwa wastani, tena kwa haya mapenz ya chuo ya siku hizi.
 
Kufikia hapa ni tatizo kabla ya kufanya jambo lingine tafuta rafiki mwingine ndy dawa na ikibidi uhame darasa
 
Asante mkuu kuna mda nataman nijivue gamba ila kibaya zaid Nina kiapo nae licha ya hvo najarbu kila mara kujitoa lakn najikuta narud nyuma tena

Kiapo gani ungali mdogo hivo, ukifeli hautawahi muoa. Mwanamke mwenzio acha kulilia wembe utakukata huo. Soma mapenzi utayakuta atakuja siku moja mwenyewe yafuta elimu na pesa siyo hayo mambo. Ukila leo kesho unabaki na ladha ya hicho ulichokula jitafutie chakula chako cha kesho siyo ule na kukifuja kama hutakula tena. Huyo mwache ndy maana anakupotezea hakutaki kwa sababu unaharibika nani atakaye penda kuishi na mtu asiye na uwezo wa kufikri hana elimu, hana pesa kuna wanaume wana msubiri waliozikusanya siyo wewe kusanya utapat wako mzuri kuliko huyo. Acha upuuzi huo soma
 
He is too young to be stressed kiasi hicho. Afu he doesn't have to beg anybody to love him. I wish angejua thamani yake akaamua kujikeep busy na masomo yake Coz akidisco hapo ndo atadata vizuri na wala haitomuhusu mdada kabisa. Afu hadi nimecheka eti, aende kwa mganga ili apendwe Mmh. Sometimes; with age comes wisdom. Ngoja kwanza mapenzi yamuoneshe jinsi yalivyo, ndo anakomaa

Na wala hata yasikuchanganye hivyo mdogo angu ukapoteza focus na maisha yako. Inauma mnoo but jikaze, wewe ni mwanaume na jua thamani yako. Muache aende coz ni ngumu sana kumlazimisha mtu kukupenda

Mna kiapo gani tena?

Ndo ajiangalie tu asianguke, kuendelea tu kuumia pasipo sababu ya msingi hapana . Maana kuna watu mapenzi yanawaharibiaga maisha totally

Damu ipi? Watoto mna mabalaa nyie. Mfate kiongozi wa dini yako muelezee akusaidie kuondoa hicho kiapo. Msiwe mnafanya maamuzi magumu hivyo kisa tu mihemuko

Hahaha eti kutumiana viungo vya uzazi tu. Ila tusichoke kuongea nao maana ni wa kwetu na elimu ni hazina isipowafaa leo itawafaa kesho, afu ukimsusa unamsusia nani? But I wish kweli wangekuwa wanayasikia tunayowaambia. Kuna njia/ changamoto wasingezipitia kabisa; lakini yote ni kheri coz kuna muda inabidi tu ujifunze kupitia makosa yako

umesema vema.:thumbup:
 
Mmh acha bana daah

We really need to talk to our little ones. Mapenzi yanaweza kukufanya ukafanya maamuzi ambayo baadaye utakuja kujutia mnooo. Leo umeamka tu mtu kakufurahisha basi mnaamua kunyonyana damu, wanaona ni kitu kidogo while wamejitengenezea bomu kubwa. Kuna mtu ashawahi kuniambia Ogopa kufanya maamuzi ukiwa emotional; una furaha sana au una hasira sana. Sasa hawa mahaba siku mbili yamekolea wanaapa eti hatutaachana milele mmmh

Yani hapo kwenye kiapo tena vya damu pameniacha hoi kabisa. Hizi movies zinawaharibu vijana.
 
Hahaha eti kutumiana viungo vya uzazi tu. Ila tusichoke kuongea nao maana ni wa kwetu na elimu ni hazina isipowafaa leo itawafaa kesho, afu ukimsusa unamsusia nani? But I wish kweli wangekuwa wanayasikia tunayowaambia. Kuna njia/ changamoto wasingezipitia kabisa; lakini yote ni kheri coz kuna muda inabidi tu ujifunze kupitia makosa yako

Yaaa ni mzigo wetu kweli, hakuna namna inabidi tu kuubeba
 
Back
Top Bottom