Lee Cho in
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 941
- 693
- Thread starter
- #41
Asante mkuu lakn nifanyaje ili nijitoe huku nilkoUmri wako bado sana,soma,sali.
Mpaka ukafikie hatua ya kuoa sidhan km utakosa wa kufanana na ww kitabia mkikaa mnasikilizana
Asante mkuu lakn nifanyaje ili nijitoe huku nilkoUmri wako bado sana,soma,sali.
Mpaka ukafikie hatua ya kuoa sidhan km utakosa wa kufanana na ww kitabia mkikaa mnasikilizana
I agree with youDon't trust too much
Don't LOVE too much
Don't trust too much
.....because that too much
can hurt you so much
He is too young to be stressed kiasi hicho. Afu he doesn't have to beg anybody to love him. I wish angejua thamani yake akaamua kujikeep busy na masomo yake Coz akidisco hapo ndo atadata vizuri na wala haitomuhusu mdada kabisa. Afu hadi nimecheka eti, aende kwa mganga ili apendwe Mmh. Sometimes; with age comes wisdom. Ngoja kwanza mapenzi yamuoneshe jinsi yalivyo, ndo anakomaa
Huyo nakuhakikishia hautakaa umwoe kwa sababu anakuona kama mko sawa, atakusumbua sana.
Na acha kabisa kuwaza kwenda kwa mganga, ongeza jitihada kwenye masomo yako, ukifanya vizuri sana atakuheshimu, na mafanikio yako ya mbeleni yatakupa mwelekeo wa kupata mwanamke mzuri anayekupa heshima unayostahili.
Soma kijana, mchukulie kama mpenzi wa kupitisha naye ujana, ikija mkaoana iwe bahati, ila ukianza kumpa ahadi za kuoana wakati yeye anajiona bado binti mbichi anaona unamzingua tu.
Mkuu nataman sana unitumie akili lakn najikuta narud nyuma plz naomba unisaidie labda nifanye vitu GAN?
Ndo ajiangalie tu asianguke, kuendelea tu kuumia pasipo sababu ya msingi hapana . Maana kuna watu mapenzi yanawaharibiaga maisha totallyYes atakomaa tu with time, tatizo hadi kufikia kukomaa atakuwa kaishalost kabisaaaa
Asante mkuu lakn nautoaje huu mwiba
Na wala hata yasikuchanganye hivyo mdogo angu ukapoteza focus na maisha yako. Inauma mnoo but jikaze, wewe ni mwanaume na jua thamani yako. Muache aende coz ni ngumu sana kumlazimisha mtu kukupenda
Lee Cho in chukua huu ushauri kama ulivyo.hisia katika moyo wako haziwezi kuishi milele tena kwa mtu ambaye haonyeshi kukujali wala hata kukuwaza. Kusema utautoaje mwiba katika Moyo Wako nikukubali kuwa umeshindwa kitu ambacho ni kosa sana.
Hujazaliwa ukiwa nae bali ulimkuta tu.
Hakuzaliwa akiwa moyoni mwako bali ulikutana nae kila mtu akiwa na Akili zake..
Unaposimama na kusema unampenda kuliko mtu yoyote chini ya Jua ni Sawa na kumtusi mama Yako mzazi ambaye ndio aliyekuzaa na Kukufanya ukutane na Huyu mwanamke.
Ni dharau kubwa sana kuishusha thamani ya mzazi wako sababu ya Mwanamke tena mwanamke ambaye ameshindwa kuyaona Wala Kuyahurumia machozi Yako.
Mama unapoumia wewe naye huumia
unapolia na kuumizwa naye huumia pia
unaponyanyaswa na kusimangwa, yeye husimama upande wako..
Hulia na wewe na daima husimama na wewe...
Ondoa mawazo juu yake huyo mwanamke na jaribu kuupoteza muda wako kwa kuyafikiria masomo yako...
Siku Shauri uendelee na Huyo kwani natambua madhara yake na Mimi nilikuwa ni Mhanga wa tukio kama Hilo
Mna kiapo gani tena?
Damu ipi? Watoto mna mabalaa nyie. Mfate kiongozi wa dini yako muelezee akusaidie kuondoa hicho kiapo. Msiwe mnafanya maamuzi magumu hivyo kisa tu mihemukoNiliapa kumpenda daima tena nikaramba na damu yake
Mtu yeyote hawezi kukubadili kitabia kabla hajakubadili kifikira ambapo utakuwa na mtazamo mpya utakaopelekea utende tofauti na awali.
Amini dawa ya tatizo ulilonalo iko mikononi mwako,hivyo tengeneza time table itakayokuwa inakubana uwe bizy kila wakati,tambua hata sindano ni dawa nzuri lkn ili uipate tiba lazima upate maumivu ya kutobolewa mwili wako ili dawa iingie ili ikatibu tatizo ulilonalo,kikubwa tambua kuwa maumivu ni sehem ya tiba.
Hakikisha siku inapita bila kumpigia,kumuesms,wala kumtafta kuongea nae chochote kile,ni ngumu ila inawezekana maana hivyo tunavyokushauri ni experience tuliyowahi kuipitia.
Narudia maumivu ni sehemu ya tiba,ni ngumu ila inawezekana ukiamua ndio maana nikasema tibu akiri hata matendo utakuwa umetibu automatic
Niliapa kumpenda daima tena nikaramba na damu yake
Asante my brother ntajitahid kadri ya uwezo wanguhisia katika moyo wako haziwezi kuishi milele tena kwa mtu ambaye haonyeshi kukujali wala hata kukuwaza. Kusema utautoaje mwiba katika Moyo Wako nikukubali kuwa umeshindwa kitu ambacho ni kosa sana.
Hujazaliwa ukiwa nae bali ulimkuta tu.
Hakuzaliwa akiwa moyoni mwako bali ulikutana nae kila mtu akiwa na Akili zake..
Unaposimama na kusema unampenda kuliko mtu yoyote chini ya Jua ni Sawa na kumtusi mama Yako mzazi ambaye ndio aliyekuzaa na Kukufanya ukutane na Huyu mwanamke.
Ni dharau kubwa sana kuishusha thamani ya mzazi wako sababu ya Mwanamke tena mwanamke ambaye ameshindwa kuyaona Wala Kuyahurumia machozi Yako.
Mama unapoumia wewe naye huumia
unapolia na kuumizwa naye huumia pia
unaponyanyaswa na kusimangwa, yeye husimama upande wako..
Hulia na wewe na daima husimama na wewe...
Ondoa mawazo juu yake huyo mwanamke na jaribu kuupoteza muda wako kwa kuyafikiria masomo yako...
Siku Shauri uendelee na Huyo kwani natambua madhara yake na Mimi nilikuwa ni Mhanga wa tukio kama Hilo
Lee Cho in chukua huu ushauri kama ulivyo.
Hicho ndo ambacho huw nawaza dada na ntafanya hvoDamu ipi? Watoto mna mabalaa nyie. Mfate kiongozi wa dini yako muelezee akusaidie kuondoa hicho kiapo. Msiwe mnafanya maamuzi magumu hivyo kisa tu mihemuko
acha hizo huyu ana mtoto wa miaka 25 mwite babaBro tunaweza usiamin ila ndo ukwel wenyewe yaan daah
Asante my brother ntajitahid kadri ya uwezo wangu
huo ndio ujinga wa vijana wa siku hizi!
acha hizo huyu ana mtoto wa miaka 25 mwite baba